Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mkuu umenena vizuri...huyu mzee dawa yake mpaka tufungwe Fans waanze kupiga kelele ndio atabadilika.
Rejea last season alivyokuwa anang'ang'ania formation yake yake ya 3-5-2 haikuworkout mpaka Giggs akamshauri.
Akimpanga herera na Mata,carrick kunakuwa na flow nzuri sana.
Anyway wacha tuone labda tutaona mabadiliko.

Messi: "Pedro deserves this for
everything he gave and still gives to
the club. Whatever he decides, we
wish him the best."
#wellcomepedro

• Rafael on van Gaal: "I know he didn't like
but I don't know if that's because I am
Brazilian."
• "I'm not the only one who he didn't
like. He told other players they could leave
I can't judge if he doesn't like Brazilians".

huyu mzee ana matatizo yake mkuu, sina imani nae tena seriously, valdes hajampa hata squad number, siku anaenda mazoezini anakuta namba yake imepekekwa huko U20, kwenye mechi dhidi ya spurs hakumpa hata ile suti official ya timu lakini Valdez ye anachukulia poa tu. mbali na yote hayo Valdez hajawahi kumsema vbaya huyu mzee japokua waandishi wanamuandama sana kwamba anamzungumziaje, any way utd my team & red is my blood.
#GGMU

N

LVG ni mkorofi inabidi umfahamu tangu alipotoka, RVP, Valdes,Rafael walishaambiwa wanaondoka ndio maana hata hawakwenda pre-season Marekani.Pamoja na yote still LVG alimsaidia Valdes baada ya kuondoka Barca alifeli vipimo vya afya Monaco still LVG alimuita akawa anafanya mazoezi Carington mpaka alivyokuwa fit ndio akampa mkataba

Alinikera zaidi ktk game moja hivi,sikumbuki Man Utd ilikuwa inacheza na nani,katika gemu hiyo Van-Persie alichezeshwa lakini hakuwa fiti,Rooney sikumbuki kama alicheza hiyo gemu,Falacao alikuwa fiti lakini hata benchi hakuwekwa badala yake aliwekwa Wilson. Bahati mbaya Van Persie hakurudi kipindi cha pili kwasababu ya majeruhi,Rooney alikuwa amechoka mno,ukiangalia benchi yupo Wilson tu wakati huo huo Man Utd ilikuwa imeshafungwa goli moja,Rooney hakuonyesha uhai na Wilson hakuingia,mzee akakomaa na Rooney wake aliyechoka mno mpaka mwisho,tulipoteza hiyo gemu wakati Falcao alikuwa fiti.Mzee kule benchi aliona bora ajaze mabeki watupu na Wilson peke yake.

mimi nilishasema siku nyingi huyu LVG anaharibu timu tu....! perfomance hakuna timu inasuasua tu na wachezaji wazuri aanao! anauza wachezaji hovyo...kila siku amekalia kusema falsafa falsafa falsafa.....
 
When you've realised you're about to leave the biggest club in the World for Man utd
ImageUploadedByJamiiForums1439368364.148563.jpg
 
Hivi cant we get Gomez wa Swansea...nionavyo mimi anafull package as a striker...he can dribble, he has pace ana physics ana height...kwa level zake naona anaderseve big timu kama Man U...
Ni mtazamo wangu tu
 
Kweli mtazamo wako
 
Spurs ndo walikuwa waanzilishi wa "glory glory" wazee wenzetu mkaiba idea...manure bhana.

Cheki unavyojua kufatilia mpaka kuhusu nyimbo za Man U..
Unaijua sana Team yetu kuliko hata Team yako..lol
 
Hivi cant we get Gomez wa Swansea...nionavyo mimi anafull package as a striker...he can dribble, he has pace ana physics ana height...kwa level zake naona anaderseve big timu kama Man U...
Ni mtazamo wangu tu

unamaanisha bafetimbi gomis? kama ndio huyu jamaa ana matatizo ya kiafya huwa ana faint pindi anapokua na msongo wa mawazo, + umri nao umeenda ana kama 30 saiz so hatotumika mda mrefu sana, pia staili yake ya uchezaji sio anayoitaka van gaal, huyu jamaa in wa mipira mirefu wakati van gaal anataka pasi fupi fupi.
 
Pedro told club during US tour he
wants to leave. Didn't like sports
director making it public yesterday
as if he said it recently. [weloba]
 
Manchester United name David de
Gea in Champions League squad:

wale wakusema next week endeleeni na next week yenu.
 
N

LVG ni mkorofi inabidi umfahamu tangu alipotoka, RVP, Valdes,Rafael walishaambiwa wanaondoka ndio maana hata hawakwenda pre-season Marekani.Pamoja na yote still LVG alimsaidia Valdes baada ya kuondoka Barca alifeli vipimo vya afya Monaco still LVG alimuita akawa anafanya mazoezi Carington mpaka alivyokuwa fit ndio akampa mkataba

Kumbukeni huyu mzee mlimuiba alikuwa ameshakubali kwenda Spurs awali. Haya yasingetokea kama msingekuwa desperate ya kupata kocha mwenye pedegree kuliko Moyes. Kitu kingine inaelekea huyu dingi anataka wachezaji yes-yes sir.
 
Huyo Mzee anaangalia performance wote aliowauza hawakuwa na viwango vizuri ni Evra tu ndio mchezaji aliyefanya vizuri baada ya kuondoka United (Wellbeck, Anderson, Rio, Vidic, Butner,Kagawa)na wengineo wengi wamechemsha.Even SAF aliuza wachezaji wakiwa na viwango but aliweza kuwareplace
 
Louis Van Gaal Destroying Manchester United F.C.: Bulgarian Legend Hristo Stoichkov [h=2]Bulgarian football legend Hristo Stoichkov said Louis Van Gaal had a negative influence on FC Barcelona during his time with the Catalan giants during 1997-2000 and 2002-03 and is continuing in the same vein at Manchester United F.C.[/h]
louis-van-gaal-man-united.jpg

File photo of Louis Van Gaal.[h=4]© AFP[/h]

Sofia: Bulgarian football legend Hristo Stoichkov has urged Spanish club FC Barcelona's midfielder Pedro Rodriguez against signing a deal with Manchester United, saying its manager Louis Van Gaal is destroying the English club.
Pedro, whose first team opportunities at Barcelona has been restricted due to the brilliant form of the attacking trio comprising Lionel Messi, Luis Suarez and Neymar, is expected to make a move to Manchester.
Stoichkov is regarded as one of the best players of his generation and is widely considered the greatest Bulgarian footballer of all time. Stoichkov played five years for Barcelona from 1990 to 1995, scoring 77 goals in 149 appearances. Van Gaal has coached Barcelona twice in the past.
He said Van Gaal had a negative influence on the Barcelona squad during his time with the Catalan giants during 1997-2000 and 2002-03 and is continuing in the same vein at United.
"I would never be under the orders of Van Gaal," Stoichkov was quoted as saying by goal.com on Tuesday.
"He's mediocre. He destroyed Barcelona and is destroying Manchester United," the 49-year-old said.
"With what he has done to (Victor) Valdes he has shown he is a bad person. Hopefully Pedro listens to me and doesn't leave."

Angalia Barca legend alivyosema juu ya huyu dingi. Afu beki wa Manchester City De Michelis aliyewahi kuwa chini ya LVG wakati akiwa kocha wa Bayern Munich naye aliwahi kusema kuwa huyu dingi ni mbabe mbabe sana na alikorofishana na wachezaji wengi Bayern Munich. Hata hivyo ni kocha mzuri kuliko wengi waliokuwepo PL ila kusema kweli yupo under huge pressure kufanya vizuri baada ya kutumia pesa alizotumia katika misimu hii miwili. Inaelekea anataka kuuza kila mtu na kuleta wachezaji wake mwenyewe ndani ya misimu 2-3 ktu ambacho ni kigumu kwa timu kubwa kama yenu hapo hapo apate mafanikio kitu ambacho ni kigumu kwa timu kubwa kama yenu inayojali stability.
 
Louis Van Gaal Destroying Manchester United F.C.: Bulgarian Legend Hristo Stoichkov Bulgarian football legend Hristo Stoichkov said Louis Van Gaal had a negative influence on FC Barcelona during his time with the Catalan giants during 1997-2000 and 2002-03 and is continuing in the same vein at Manchester United F.C.

louis-van-gaal-man-united.jpg

File photo of Louis Van Gaal.© AFP

Sofia: Bulgarian football legend Hristo Stoichkov has urged Spanish club FC Barcelona's midfielder Pedro Rodriguez against signing a deal with Manchester United, saying its manager Louis Van Gaal is destroying the English club.
Pedro, whose first team opportunities at Barcelona has been restricted due to the brilliant form of the attacking trio comprising Lionel Messi, Luis Suarez and Neymar, is expected to make a move to Manchester.
Stoichkov is regarded as one of the best players of his generation and is widely considered the greatest Bulgarian footballer of all time. Stoichkov played five years for Barcelona from 1990 to 1995, scoring 77 goals in 149 appearances. Van Gaal has coached Barcelona twice in the past.
He said Van Gaal had a negative influence on the Barcelona squad during his time with the Catalan giants during 1997-2000 and 2002-03 and is continuing in the same vein at United.
"I would never be under the orders of Van Gaal," Stoichkov was quoted as saying by goal.com on Tuesday.
"He's mediocre. He destroyed Barcelona and is destroying Manchester United," the 49-year-old said.
"With what he has done to (Victor) Valdes he has shown he is a bad person. Hopefully Pedro listens to me and doesn't leave."

Angalia Barca legend alivyosema juu ya huyu dingi. Afu beki wa Manchester City De Michelis aliyewahi kuwa chini ya LVG wakati akiwa kocha wa Bayern Munich naye aliwahi kusema kuwa huyu dingi ni mbabe mbabe sana na alikorofishana na wachezaji wengi Bayern Munich. Hata hivyo ni kocha mzuri kuliko wengi waliokuwepo PL ila kusema kweli yupo under huge pressure kufanya vizuri baada ya kutumia pesa alizotumia katika misimu hii miwili. Inaelekea anataka kuuza kila mtu na kuleta wachezaji wake mwenyewe ndani ya misimu 2-3 ktu ambacho ni kigumu kwa timu kubwa kama yenu hapo hapo apate mafanikio kitu ambacho ni kigumu kwa timu kubwa kama yenu inayojali stability.

Unataka kocha awe mwepesi muweze kumchezea kama ndugu yenu?
 
Huyo Mzee anaangalia performance wote aliowauza hawakuwa na viwango vizuri ni Evra tu ndio mchezaji aliyefanya vizuri baada ya kuondoka United (Wellbeck, Anderson, Rio, Vidic, Butner,Kagawa)na wengineo wengi wamechemsha.Even SAF aliuza wachezaji wakiwa na viwango but aliweza kuwareplace

Hivi Welbek bado yupo Arsenal?
 
Louis Van Gaal Destroying Manchester United F.C.: Bulgarian Legend Hristo Stoichkov [h=2]Bulgarian football legend Hristo Stoichkov said Louis Van Gaal had a negative influence on FC Barcelona during his time with the Catalan giants during 1997-2000 and 2002-03 and is continuing in the same vein at Manchester United F.C.[/h]
louis-van-gaal-man-united.jpg

File photo of Louis Van Gaal.[h=4]© AFP[/h]

Sofia: Bulgarian football legend Hristo Stoichkov has urged Spanish club FC Barcelona's midfielder Pedro Rodriguez against signing a deal with Manchester United, saying its manager Louis Van Gaal is destroying the English club.
Pedro, whose first team opportunities at Barcelona has been restricted due to the brilliant form of the attacking trio comprising Lionel Messi, Luis Suarez and Neymar, is expected to make a move to Manchester.
Stoichkov is regarded as one of the best players of his generation and is widely considered the greatest Bulgarian footballer of all time. Stoichkov played five years for Barcelona from 1990 to 1995, scoring 77 goals in 149 appearances. Van Gaal has coached Barcelona twice in the past.
He said Van Gaal had a negative influence on the Barcelona squad during his time with the Catalan giants during 1997-2000 and 2002-03 and is continuing in the same vein at United.
"I would never be under the orders of Van Gaal," Stoichkov was quoted as saying by goal.com on Tuesday.
"He's mediocre. He destroyed Barcelona and is destroying Manchester United," the 49-year-old said.
"With what he has done to (Victor) Valdes he has shown he is a bad person. Hopefully Pedro listens to me and doesn't leave."

Angalia Barca legend alivyosema juu ya huyu dingi. Afu beki wa Manchester City De Michelis aliyewahi kuwa chini ya LVG wakati akiwa kocha wa Bayern Munich naye aliwahi kusema kuwa huyu dingi ni mbabe mbabe sana na alikorofishana na wachezaji wengi Bayern Munich. Hata hivyo ni kocha mzuri kuliko wengi waliokuwepo PL ila kusema kweli yupo under huge pressure kufanya vizuri baada ya kutumia pesa alizotumia katika misimu hii miwili. Inaelekea anataka kuuza kila mtu na kuleta wachezaji wake mwenyewe ndani ya misimu 2-3 ktu ambacho ni kigumu kwa timu kubwa kama yenu hapo hapo apate mafanikio kitu ambacho ni kigumu kwa timu kubwa kama yenu inayojali stability.

Barca wana ma-legend wangapi? Mbona kina Laudrup, Guardiola, Xavi hawajamsema. Roy Keane had leo anamponda SAF,Zlatan anamponda Pep, Terry anamponda Benitez,Casilas anamponda Morinyo angalia Brendan Rodgers alichowafanya kina Agger, Reina, Suso, Gerrard hivyo ni vitu vya kawaida kwenye maisha huwezi kuelewana na kila mtu
 
Back
Top Bottom