Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rooney best perfomance yake imekwisha hata lile goli ni kama kashfa kwake tu...rvp na chicharito lazma tuwamiss tu

Baada ya game ya jana nimeona ManUnited tunahitaji sana striker namba 9,Rooney ameshasahau kabisa kucheza striker.Kwenye defence tumecheza vizuri hasa (Romero,Darmian na Smalling) tunahitaji sana striker kuliko beki (Rojo,Blind) wanaweza kucheza na Smalling tuombee tusipate majeruhi.Kwa sasa bila striker ningependa kila game Herrera aanze sababu huyu ni kiungo anayefunga magoli,Ashley Young aanze benchi

Umeona vyema mkuu.
Ila usidharau umuhimu wa kupata na beki mzuri ili tuwe safe side zaidi.
Tuna michuano mingi msimu huu, we can't afford kuwa na majeruhi, itatugharimu.
Kila michuano tuliopo ni muhimu zaidi.
Striker na CB ni muhimu sana sana.

Tuongeze striker mwingine na tuanze kumtumia Chicharito.
Rooney amezoea misimu iliyopita alivyokuwa anacheza nafasi nyingi.

Wakuu, mmenena vyema kabisa.

Rooney kazoea sana kucheza dimba lote. Sasa akiwa hivyo, hawezi kumudu namba 9.

Pia LvG naona bado anataka kurudia makosa ya kupanga wachezaji kwenye nafasi zisizo zao kiufundi. Mimi sijui kwanini Depay ameletwa halafu anapangwa pale kati! Kwa kuja kwake, Young inabidi awe squad player sasa. Depay akipige pembeni kule, halafu Herrera awe kama AM mwenye kupeleka mipira kwa striker, Mata anakuwa huru kucheza kwenye wings na kumsaidia AM wakati wowote. Mata na Herrera wanakuwa nyuma ya Rooney, huku Morgan/Blind na Carrick/Bastian wakiwapa support ya kutoa mipira nyuma na kusukuma mbele.

Naamini ukiwa na viungo design ya Mata na Herrera, unaweka striker mmoja tu mbele pale. Anaanza Rooney na Chicharito anaingia kama sub saa zingine, wakibadilishana na madogo Wilson na Lingard kwenye mechi zenye uelekeo wa ushindi.

Herrera atakuwa akibadilishana na Fellaini/Perreira, huku Mata akibadilishana na Januzaj/Valencia, Januzaj naye anaweza kuwa huru, lakini siyo Valencia. Depay atabadilishana na Young.

Beki Rojo na Smalling wanakaa kama CBs, wakibadilishana CB mpya na Jones, huku Darmian akiwa RB na Shaw kama LB, madogo Blackett na McNair wakiwa kama subs za RB na LB.

Mimi naona kama hitaji kubwa kwa sasa ni CB mzoefu mmoja wa kuongoza timu hapo kwenye backline. Striker anahitajika ndiyo, lakini kwa mfumo huo niliousema hapo juu, ukiwa na Mata na Herrera nyuma ya Rooney/Chicharito au wale madogo, naamini hakutakuwa na shida sana.

Hivyo formation ambayo ningependa itumike ni 4-5-1 yaani:

Backline
CBs: Rojo/CB mpya, Smalling/Jones
LB: Shaw/Blackett
RB: Darmian/McNair

Midfield
CMs: Morgan/Blind na Carrick/Bastian
AM: Herrera/Fellaini/Perreira
Wingers: Depay/Young na Mata/Valencia/Januzaj.

Forward
Striker: Rooney/Chicharito/Wilson/Lingard

Haya ni mawazo yangu kama mpenzi wa #ManUnited ila kocha naye ana ya kwake kama mtu anayewaona wachezaji mazoezini, na kupanga timu.

Ila naamini mambo yatakuwa siyo mabaya msimu huu.
 
ImageUploadedByJamiiForums1439141352.687087.jpg

Kuna watu vichaa 😀😀😀😀
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Umenena vyema mkuu.
Nimeupenda mchango wako.
Ila wito wangu ni kuwa LVG asituwekee majaribio tena.
Kama mchezaji ni winger au striker apewe namba yake.
Sipo comfotable kabisa na kufanya majaribio kama alivyofanya last season.
Kila mechi iwe kazi tu.
 
Hiyo itakuwa ndiyo yao na yake...huyu DDG ina maana anataka kuondoka kweli?

Mimi hili sakata silielewielewi aisee..

De Gea anataka kurudi kwao Hispania.
Manchester na Madrid inavyoonekana kuna makubaliano hayajafikiwa ndo maana hakuna kinachoendelea.
Personal terms kati ya Madrid na De Gea ni rahisi kufikiwa kwa sababu dogo anataka kurudi kwao.
Ndio maana LVG akamuweka benchi baada ya kufanya uzembe unaosemekana ni kama anataka kuondoka.
Kugoma kusign mkataba mpya ni ishara tosha ya jamaa kutaka kuondoka United.
 
Umenena vyema mkuu.
Nimeupenda mchango wako.
Ila wito wangu ni kuwa LVG asituwekee majaribio tena.
Kama mchezaji ni winger au striker apewe namba yake.
Sipo comfotable kabisa na kufanya majaribio kama alivyofanya last season.
Kila mechi iwe kazi tu.

Kuliko awe anampanga depay shimoni ni bora asimpange kabisa anamchosha tu, tatizo la Young ni kucheza mpira wa kiUK sana kidogo kapiga mtungi, anajisahau anazani mda wote kuna fellaini ndani, na mitungi yake mingi aina macho, mtashangaa pedro akija mtu atakayemdrop ni Mata na si Young, yatamkuta yanayo mkuta Herrera aisee
 
you are now thinking what i'm thinking
 
Wakuu, mmenena vyema kabisa.

Rooney kazoea sana kucheza dimba lote. Sasa akiwa hivyo, hawezi kumudu namba 9.

Pia LvG naona bado anataka kurudia makosa ya kupanga wachezaji kwenye nafasi zisizo zao kiufundi. Mimi sijui kwanini Depay ameletwa halafu anapangwa pale kati! Kwa kuja kwake, Young inabidi awe squad player sasa. Depay akipige pembeni kule, halafu Herrera awe kama AM mwenye kupeleka mipira kwa striker, Mata anakuwa huru kucheza kwenye wings na kumsaidia AM wakati wowote. Mata na Herrera wanakuwa nyuma ya Rooney, huku Morgan/Blind na Carrick/Bastian wakiwapa support ya kutoa mipira nyuma na kusukuma mbele.

Naamini ukiwa na viungo design ya Mata na Herrera, unaweka striker mmoja tu mbele pale. Anaanza Rooney na Chicharito anaingia kama sub saa zingine, wakibadilishana na madogo Wilson na Lingard kwenye mechi zenye uelekeo wa ushindi.

Herrera atakuwa akibadilishana na Fellaini/Perreira, huku Mata akibadilishana na Januzaj/Valencia, Januzaj naye anaweza kuwa huru, lakini siyo Valencia. Depay atabadilishana na Young.

Beki Rojo na Smalling wanakaa kama CBs, wakibadilishana CB mpya na Jones, huku Darmian akiwa RB na Shaw kama LB, madogo Blackett na McNair wakiwa kama subs za RB na LB.

Mimi naona kama hitaji kubwa kwa sasa ni CB mzoefu mmoja wa kuongoza timu hapo kwenye backline. Striker anahitajika ndiyo, lakini kwa mfumo huo niliousema hapo juu, ukiwa na Mata na Herrera nyuma ya Rooney/Chicharito au wale madogo, naamini hakutakuwa na shida sana.

Hivyo formation ambayo ningependa itumike ni 4-5-1 yaani:

Backline
CBs: Rojo/CB mpya, Smalling/Jones
LB: Shaw/Blackett
RB: Darmian/McNair

Midfield
CMs: Morgan/Blind na Carrick/Bastian
AM: Herrera/Fellaini/Perreira
Wingers: Depay/Young na Mata/Valencia/Januzaj.

Forward
Striker: Rooney/Chicharito/Wilson/Lingard

Haya ni mawazo yangu kama mpenzi wa #ManUnited ila kocha naye ana ya kwake kama mtu anayewaona wachezaji mazoezini, na kupanga timu.

Ila naamini mambo yatakuwa siyo mabaya msimu huu.
Kwa mawazi yangu huyo Blind awe anabadilishana na Shaw ......Valencia naye ni kama ameshakuwa LB....Huo upande anaocheza Mata Kama akija Pedro sizani kama Valencia atacheza huko kwa jinsi ninavyoona LVG atamtumia kama sub ya Darmian
Swala lakumchezesha Memphis namba 10.. hata mimi silihafiki....huyu jamaa ni mzuri akiwa upnde wa kulia kwa jinsi ninavyoona ni kama anajaribu kitu na hii ndio iliyotucost msimu uliopita....
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Daah kumbe mimi ninaweza nikiwa shabiki pekee wa United niliye na imani na Baba Kai pale no. 9, nina ugomvi mkubwa na mashabiki wenzangu wa uku kitaa, na nimemwambia nitawanunulia bia kreti 1 1 za bia kama Baba Kai akifunga chini ya goal 20, Depay akiendelea kukaa pale 10 itakula kwangu..
 
Depay sio natural namba 10 bhana....huyu mzee anataka kutuletea habar za majaribio hapa kama alivyokuwa anampanga Di maria kama striker. ...Huyo Depay acheze kushoto Mata acheze kule pembeni halafu Mjomba Herrer aingie kati
 
Last edited by a moderator:

Kweli , LVG mpaka leo amekuwa mtu wa kujaribujaribu tu, na maneno yake yaleyale kila ooh philosophy sijui, msimu tukitoka kapa atembee zake ana chakujitetea, ni ujinga mkubwa kupanga wachezaji out of position na wakati wenye nafasi zao wapo..
 
Last edited by a moderator:
Honestly...kwa perfomance ya juzi sijaona lolote jipya kwa timu yetu...ni yale yale tu, huyu LVG sijui kama atatuletea mafanikio yoyote!!!
 
free flowing football....man utd way....sio kwikwi na kigugumizi cha msimu uliopita na mechi moja ya juzi.

Sawa. Game za kwanza zinakuwa na pressure kubwa sana...pia tulikuwa na debutants wanne kwenye timu, hawa nao wanakuwa na pressure kuonyesha kuwa timu haikukosea kuwasajili..

Ebu tuone baada ya games 5 hivi, na kama Rojo akirudi na timu ikacheza wachezaji wanne katika backline, ndipo angalau tutapata mwanga.
 
Ila amezungumza kuwa Kama akiona Depay no 10 haitendei haki atammbadilisha..
Naombea Pedro aje pale acheze no 10 then Depay aende pembeni.

Pia nitafurahia partnership ya kati iwe Rojo na Smalling.
 
Back
Top Bottom