Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilivo ona tu Chelsea kwenye hiyo listi yako sijaendelea kusoma utumbo wako, Chelsea unaiweka kwenye club kubwa?
kumbe wewe unatumia football domination kjua kama club in kubwa? sasa kwann tunabishana na mtu usiejua lolote?
kuhusu hiyo football domination inafanya club kuwa bora na sio kubwa, hebu jaribu kutumia baadhi ya hizi fact kujua club ipi ni Kubwa,
idadi ya makombe
fanbase
facilities za timu
financially (mapato ya timu)
kuwa top ranked haina maana kuwa we ni mkubwa ila ni bora. usipoelewa hata hapa utakua na matatizo yako tu wewe.
hyo paragraph ya mwisho ndio imedhihirisha hujui kitu, barca saiz inahela kuliko utd.

http://www.forbes.com/sites/forbesp...ounces-the-worlds-most-valuable-sports-teams/

BRENDAN RODGERS

"At this moment in time, Manchester City
are on a great project. They're a wonderful
club, I've seen it for myself a few years
ago when I spoke with them. I've got big
respect for what they're doing there.
"They're trying to build it the right way
and hopefully they'll get young players
through at this Sport City, all of that, but,
at this moment in time, you can't compare
as a club the size of the two.
"You've got Liverpool and Manchester
United, the two biggest clubs in this
country, and the rest of them are fighting
to be there over the next 20 years."

Lol, so kwa points zako hizo unataka unambie Arsenal are bigger than Bayern Munich and Chelsea?
 
Chelsea is a biggest club? Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Mbavu zangu mie!Klabu yenye makombe 5 tu ya E.P.L inayozidiwa hata na Everton,Aston Villa na Tottenham,klabu yenye kombe moja tu la UEFA champions league inayozidiwa hata na Nottingham Forest yenye makombe 2 ya UEFA champions league, klabu yenye uwanja mdogo mno wenye uwezo wa kuchukuwa mashabiki wasiozidi 47,000 ndio iwe kubwa kuliko Manchester United?Thanks for the good sense of humor though!!!

Kwahyo kwa mtazamo wako Everton, Aston Villa and Spurs are Bigger clubs than Chelsea kwa sasa? Dah!!!!
 
Kwahyo Chelsea ni the biggest club?

Yes, chelsea ni moja kati ya club kubwa dunian kwa sasa, na for the past 10 years imekuwa ni club bora kuliko Liverpool, Arsenal, Ac Milan, Inter Milan, Juventus etc, huwez ukanambia consistency yao inaifanya iwe "Top club" tu..NO..kwanzia financially, makombe etc Chelsea imefanikiwa zaid kuliko hizo clubs nilizozitaja hapo juu...huwez ukanambia hiyo ni Top Club tu wakat imekuwa ikifanya vizur for the past 10 years..
 
Kwahyo kwa mtazamo wako Everton, Aston Villa and Spurs are Bigger clubs than Chelsea kwa sasa? Dah!!!!

Ndio ujiulize sasa,in success wise Tottenham, Everton and Aston Villa are more successful than Chelsea domestically yet they are not among the big fishes, they were simply successful but biggest clubs will always be Manchester United,Liverpool and slightly Arsenal. You can say all you want to say but facts will always prove you wrong Sir. Chelsea still have a long way to go to catch up with the giants of English soccer.
 
Yes, chelsea ni moja kati ya club kubwa dunian kwa sasa, na for the past 10 years imekuwa ni club bora kuliko Liverpool, Arsenal, Ac Milan, Inter Milan, Juventus etc, huwez ukanambia consistency yao inaifanya iwe "Top club" tu..NO..kwanzia financially, makombe etc Chelsea imefanikiwa zaid kuliko hizo clubs nilizozitaja hapo juu...huwez ukanambia hiyo ni Top Club tu wakat imekuwa ikifanya vizur for the past 10 years..

Maybe I misunderstood your point, maybe you meant that Chelsea is the biggest club in this pool:Swansea city,Sunderland, West Bromwich, and the likes!Tottenham is the second biggest club in London after Arsenal, will you argue about this?
 
huyu jamaa anatupotezea muda tu, tumuache na mawazo yake mgando. kama kafikia kusema barca ni kubwa kuliko Madrid, kuna haja kweli yakuendelea kubishana na mtu kama huyo?
 
Ndio ujiulize sasa,in success wise Tottenham, Everton and Aston Villa are more successful than Chelsea domestically yet they are not among the big fishes, they were simply successful but biggest clubs will always be Manchester United,Liverpool and slightly Arsenal. You can say all you want to say but facts will always prove you wrong Sir. Chelsea still have a long way to go to catch up with the giants of English soccer.

Bruh, mpira unabadilika, na tuwe tunabadilika kulingana na mpira unavyokwenda..

Study mpya ya mwaka huu inaonyesha kuwa LFC ndo club kubwa UK interms of trophies ikifatiwa na united, ndo maana nikakwambia hapo juu kuwa, interms of history and trophies won, LFC are BIGGER than Man utd, Arsenal, Chelsea, Everton, spurs etc...but naweza nikasimama hapa na kusema kuwa LFC kwa "SASA" ni BIGGER club than Chelsea and United??? NO..

Katika all competitions zimazoandaliwa na UEFA, LFC tumeshinda jumla ya makombe 11, Man utd wakishinda 6 tu huku AC MILAN wakiwa sawa na Madrid, 17, na barcelona 14, so kwa mtindo huo unaweza ukasema kwa "SASA" milan ni club kubwa zaid ya Bayern, Barcelona and Man utd? NO..

Katika CL tu, LFC wapo sawa na Bayern pamoja na Barcelona katika number of trophies won (5 times) and Ac Milan wenyewe ni mara 7, so kwa mtazamo huo, katika recently years naweza nikasema Ac Milan are bigger club than Bayern, Barcelona? NO..

Katika number of trophies won by LFC pale UK na kwenye europe competitions, LFC ni superior kwa Man utd, Chelsea and Arsenal, so kwa mtindo huo naweza nikatoka hapa na kusema kuwa kwa "SASA" or for the past 10-12 years kuwa LFC ni bigger than chelsea or for the past 15 years, LFC ni bigger than Man utd??? NO..

Soccer linanadilika, na ndo maana UEFA na FIFA rankings, zinabadilika kila baada ya muda, before 2004, ilikuwa ni mara chache sana kuona Chelsea ikimake katika top 7-8 ya UEFA or FIFA clubs ranking, but angalia kwa sasa..kuwa GIANTS wa soccer la UK hakukufanyi ndo uwe BIGGER club kama tu kwa kipind cha muda mrefu umekuwa ukistruggle..madrid, LFC na Ac Milan ni moja kati ya clubs ambazo zimeshinda makombe mengi sana duniani katika ngazi ya club, ni clubs zenye historia kubwa sana duniani, but angalia LFC na MILAN Kwa sasa ziko wapi? LFC inakuwa mpaka outsmarted na Arsenal financially, same to Milan..Milan na LFC zutabakia kuwa club legend na kubwa (giants) katika soccer dunian, kutokana na history, makombe etc, but katika mpira wa sasa, ukitaja clubs KUBWA dunian, siyo LFC wala Milan watakaoingia katika TOP FIVE, club ambayo haina PULLING power katika soko la mpira wa sasa, huwez kuiita kubwa, Kulikuwa na vipind ambapo LFC walikuwa wanaenda sambamba na Madrid katika kila kitu, but now tukicheza na Madrid tunaombea magoal yasizid 5-6, utaiitaje Club kubwa kwa "sasa" liverpool?

Narudia tena, interms of History and trophies, Arsenal are way bigger than Chelsea, but unaweza kusema kwa sasa kuwa "top four runners" for the past 7-8, Arsenal ni Bigger than chelsea? And how's spurs the 2nd biggest club in London? Wakat wamepitwa kila kitu na chelsea, Trophies, fanbase, uchumi etc..huwa unapitia takwimu za soccer?
ImageUploadedByJamiiForums1439468484.055344.jpg
 
View attachment 275819

Bado unaendelea kujichanganya ndugu,tofautisha being successful and being big.Success is temporary but big is permanent. Ndo maana nikakupa mifano ya klabu kama Everton, Aston Villa na Tottenham ambazo kwa miaka flani zilifanya vizuri lakini leo hii ziko wapi?Kutokana na logic yako,hizi klabu 3 zilikuwa kubwa kuliko Manchester United na Liverpool kwa nyakati zile kisha zikarudi kuwa ndogo tena?Chelsea ili wawe wakubwa kuliko Manchester United ni lazima watupite kwa mafanikio ya uwanjani,watupite kwa idadi ya mataji.Hakuna njia ya mkato hapo.
 
Suala hapa ni kwamba, chelsea kwasasa ni among of the "big" clubs in the world.
 
​Manchester United manager Louis van Gaal has revealed that David de Gea will once again play no part in the club's Premier League match this week, as speculation over his future rumbles on.

At his ​press conference before Friday night's match against Aston Villa, he told the press: "He won't play. It is the same situation. He is out of the squad. I said that already."

He also took time to respond to negative comments from former Barcelona player Hristo Stoichkov, who played under Van Gaal at the Spanish club and this week told United target Pedro not to move to play under the Dutchman: "I always want to consider who is saying such things and then I know that already because of why?

"It is not bothering me because as a manager I have to decide a lot of things and Stoichkov is one of the players I send away and that is why he is doing that."
Facebook® Account Sign Up. Join for Free Today!
Sponsored Facebook

Adnan Januzaj, he insisted, still has a chance of getting into his side and will not be sold this summer: "I have 28 players and I have to select every week and maybe every three days. Last week I chose for other players. He is doing his utmost best, all the players are doing that. I don't have any complaints. It's still not for sale."

He ended the press conference by talking about Javier Hernandez's role in the squad and whether the club would be signing any more players before the end of the season, saying: "The striker is Rooney and Chicharito is the second striker and he knows that."

"Always, our aim is to improve our squad and when it is possible we shall do it. I have said more than once that we only buy when we think it is a contribution for our squad."
 
Yes, chelsea ni moja kati ya club kubwa dunian kwa sasa, na for the past 10 years imekuwa ni club bora kuliko Liverpool, Arsenal, Ac Milan, Inter Milan, Juventus etc, huwez ukanambia consistency yao inaifanya iwe "Top club" tu..NO..kwanzia financially, makombe etc Chelsea imefanikiwa zaid kuliko hizo clubs nilizozitaja hapo juu...huwez ukanambia hiyo ni Top Club tu wakat imekuwa ikifanya vizur for the past 10 years..

Mpaka iitwe club kubwa wanaangalia nin,?
 
Even Jose hajacheza football but ni among the best coach,jamaa aliingia kwenye reli za LVG now amebaki analialia,kama kuitoa timu no 7 hadi 4 ni kuiharibu muache aendelee kuiharibu

Diego Maradona alikuwa mchezaji mahiri ila leo anaboronga kila sehemu.
 
Even Jose hajacheza football but ni among the best coach,jamaa aliingia kwenye reli za LVG now amebaki analialia,kama kuitoa timu no 7 hadi 4 ni kuiharibu muache aendelee kuiharibu

Mkuu bado mnabishana na huyu jamaa? hebu achaneni nae tu focus mechi ya kesho na villa, huyu ana stress zake na liver ndio anakuja kupata faraja humu.
 
Back
Top Bottom