Manchester United (Red Devils) | Special Thread

rubaman,kubadilisha makocha kuna negative impact kwa wachezaji waliopo kama watashindwa kufit mfumo wa kocha mpya ,Benitez alivyoenda Chelsea alikuwa anampiga benchi JT kaja Jose JT kacheza game zote Jose kauza Mata,Luiz,De Bruyne, Schurle baada ya kuona hawafit mfumo wake same to BR kule Liverpool amebaki Lucas nae huenda akauzwa.Siku Wenger akiondoka hao kina Wilshere,Walcott,Arteta wote watauzwa
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa enzi zake na zilisha pita,hata liverpol ilikuwa enzi zake,upo!

hivi huwa mnaangalia vigezo gani kwamba hii club ni kubwa na hii ni bora? hebu tofautisheni kati ya club kubwa na bora! Manchester utd itazidi kuwa club kubwa duniani hata isipochukua makombe miaka kumi mfululizo, ubora wa club unaangaliwa uwanjani lakini kuna maeneo mengi sana ya kuangalia ukubwa wa club.
Chelshit hata ifanye nn kuja kuwa kubwa kuliko utd watakuja waone wajukuu zetu (kama itakuja kutokea) enzi za fergie utd ilikua ni bora pia in kubwa kuliko chelshit lakini saiz chelshit in bora kuliko utd lakini haijafika hata nusu ya ukubwa wake,
kwa pale england man utd na liverfool ni kubwa japokua kwa sasa sio bora kuliko chelshit, kwa ukubwa wa timu Chelsea jifananisheni na man city au spurs lakini arse8, looserfool au utd sio level yako. timu haina hata uwanja unajiitaje timu kubwa? fanbase umezidiwa hata na Newcastle bado unajiita timu kubwa? makombe yako hata dar young Africa/simba au tp mazembe imekuzidi alafu unataka kuji compare na utd, kweliiii???
leteni vitu vya maana vya kubishana lakini sio ukubwa wa timu.
 
Biggest club in the world?and where will Madrid be rated at?

Lol, wazee wa kuklem, kama kawaida yenu...LA LIGA, COPA, UCL, UEFA SUPER CUP, madrid imevuna nn last season?

Jua kutofautisna kati ya MOST VALUABLE CLUBS IN THE WORLD, na BIGGEST CLUB IN THE WORLD KWA SASA, Manure ya mwaka 1999 ndo ilikuwa considered kuwa The Biggest club in the world kwa wakat ule, unajua ni kwanini??

Madrid, Ac Milan, Juventus, Man utd, Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Inter Milan, Porto etc, ni clubs kubwa duniani kutokana na 1. History (ukongwe). 2. Idadi ya Makombe MAKUBWA, 3. Mashabiki, 4. Legends, 5. Value, 6. Wage bills 7. Stadiums etc na facts zingine kibao, so kwa mtazamo huo, ipi unafikiri ndo team yenye mafanikio makubwa kwa sasa? Nitajie ipi ndo the MOST ATTRACTIVE CLUB IN THE WORLD KWA SASA?

Usiishi kwa kuklemu..
 
Bila offense, nipe list ya the biggest football club in the world.

2014-2015.

1. Barcelona
2. Madrid
3. Bayern Munch
4. Chelsea
5. Atletico Madrid.

Jua kutofautisha kati ya "most valuable/richest clubs" in the world na "biggest/top ranked club in the world"...

Kwa sasa 4 richest clubs in the world ni Madrid, Man utd, Barcelona , Arsenal, but Man utd huwez kuwaweza katika rank moja na Barcelona interms of ukubwa na mafanikio ya vikombe kwa sasa, na Arsenal ndo kabisa, huwez kuiweka katika rank moja na Chelsea or bayern na ATM kwa sasa..

Kwa sasa, Club yenye mafanikio makubwa dunian ni BARCELONA, interms of MAKOMBE MAKUBWA na FOOTBALL DOMINATION..now huwez ukanambia katika ranks za soccer Madrid are bigger than Barcelona, utanambia tu kuwa Man utd and Madrid ni MATAJIRI kuliko barca, but not BIGGER than barca katika FOOTBALL DOMINATION..

In Europe (katika UEFA competitions) ATLETICO MADRID wamefanya vizuri for the past 2-3 years kuliko any club ya UK..thats why katika UEFA RANKINGS za mwaka huu (APRIL), imeshika nafas ya 5 nyuma ya chelsea, huku manure ikishika number 10 na Arsenal number 9, but lets not 4get kuwa hiz ni clubs (manure and Arsenal) ni tajiri kuliko Chelsea, Bayern and ATM, but ni BIGGER katika soccer la ulaya kwa sasa zaidi ya chelsea, bayern and ATM IN TERMS OF DOMINATION??? the answer is NO..

Ranks za UEFA zinatoka kila round ndugu.. So sahiv ninapokwambia kuwa Barcelona ndo kila kitu namaamisha achievements za last season na sasa, WAMESHINDA MAKOMBE YOTE MAKUBWA, UCL, UEFA SUPER CUP, COPA and LA LIGA..but hawana pesa kama Man utd ambao wanastruggle kurud juu, na Madrid ambao wanategemea kuretain sehemu yao this season..
 
ImageUploadedByJamiiForums1439420418.483357.jpg 😜😜😂😂
 
Nilivo ona tu Chelsea kwenye hiyo listi yako sijaendelea kusoma utumbo wako, Chelsea unaiweka kwenye club kubwa?
kumbe wewe unatumia football domination kjua kama club in kubwa? sasa kwann tunabishana na mtu usiejua lolote?
kuhusu hiyo football domination inafanya club kuwa bora na sio kubwa, hebu jaribu kutumia baadhi ya hizi fact kujua club ipi ni Kubwa,
idadi ya makombe
fanbase
facilities za timu
financially (mapato ya timu)
kuwa top ranked haina maana kuwa we ni mkubwa ila ni bora. usipoelewa hata hapa utakua na matatizo yako tu wewe.
hyo paragraph ya mwisho ndio imedhihirisha hujui kitu, barca saiz inahela kuliko utd.

http://www.forbes.com/sites/forbespr/2015/07/15/forbes-announces-the-worlds-most-valuable-sports-teams/

BRENDAN RODGERS

"At this moment in time, Manchester City
are on a great project. They're a wonderful
club, I've seen it for myself a few years
ago when I spoke with them. I've got big
respect for what they're doing there.
"They're trying to build it the right way
and hopefully they'll get young players
through at this Sport City, all of that, but,
at this moment in time, you can't compare
as a club the size of the two.
"You've got Liverpool and Manchester
United, the two biggest clubs in this
country, and the rest of them are fighting
to be there over the next 20 years."
 
Lol, wazee wa kuklem, kama kawaida yenu...LA LIGA, COPA, UCL, UEFA SUPER CUP, madrid imevuna nn last season?

Jua kutofautisna kati ya MOST VALUABLE CLUBS IN THE WORLD, na BIGGEST CLUB IN THE WORLD KWA SASA, Manure ya mwaka 1999 ndo ilikuwa considered kuwa The Biggest club in the world kwa wakat ule, unajua ni kwanini??

Madrid, Ac Milan, Juventus, Man utd, Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Inter Milan, Porto etc, ni clubs kubwa duniani kutokana na 1. History (ukongwe). 2. Idadi ya Makombe MAKUBWA, 3. Mashabiki, 4. Legends, 5. Value, 6. Wage bills 7. Stadiums etc na facts zingine kibao, so kwa mtazamo huo, ipi unafikiri ndo team yenye mafanikio makubwa kwa sasa? Nitajie ipi ndo the MOST ATTRACTIVE CLUB IN THE WORLD KWA SASA?

Usiishi kwa kuklemu..

Wewe ndio unayechanganya sasa,Barcelona siyo klabu kubwa zaidi duniani,Madrid ndiyo klabu kubwa kwasababu facts zote zipo hapo.Madrid ina makombe mengi kuliko Barcelona, ina mashabiki wengi kuliko Barcelona, ina utajiri mkubwa kuliko Barcelona na ina mvuto mkubwa kuliko Barcelona (mauzo ya jezi za wachezaji ni uthibitisho mzuri).Ila ukizungumzia klabu yenye mafanikio makubwa kwa miaka ya karibuni (the successful club in recent years) nitakuelewa,Barcelona is a successful club in recent years but not the biggest. That goes to Chelsea as well,Chelsea is not among the biggest clubs in English Premier League (E.P.L) but it is the successful club in recent years. I guess you're a Chelsea fan,no wonder!
 
2014-2015.

1. Barcelona
2. Madrid
3. Bayern Munch
4. Chelsea
5. Atletico Madrid.

Jua kutofautisha kati ya "most valuable/richest clubs" in the world na "biggest/top ranked club in the world"...

Kwa sasa 4 richest clubs in the world ni Madrid, Man utd, Barcelona , Arsenal, but Man utd huwez kuwaweza katika rank moja na Barcelona interms of ukubwa na mafanikio ya vikombe kwa sasa, na Arsenal ndo kabisa, huwez kuiweka katika rank moja na Chelsea or bayern na ATM kwa sasa..

Kwa sasa, Club yenye mafanikio makubwa dunian ni BARCELONA, interms of MAKOMBE MAKUBWA na FOOTBALL DOMINATION..now huwez ukanambia katika ranks za soccer Madrid are bigger than Barcelona, utanambia tu kuwa Man utd and Madrid ni MATAJIRI kuliko barca, but not BIGGER than barca katika FOOTBALL DOMINATION..

In Europe (katika UEFA competitions) ATLETICO MADRID wamefanya vizuri for the past 2-3 years kuliko any club ya UK..thats why katika UEFA RANKINGS za mwaka huu (APRIL), imeshika nafas ya 5 nyuma ya chelsea, huku manure ikishika number 10 na Arsenal number 9, but lets not 4get kuwa hiz ni clubs (manure and Arsenal) ni tajiri kuliko Chelsea, Bayern and ATM, but ni BIGGER katika soccer la ulaya kwa sasa zaidi ya chelsea, bayern and ATM IN TERMS OF DOMINATION??? the answer is NO..

Ranks za UEFA zinatoka kila round ndugu.. So sahiv ninapokwambia kuwa Barcelona ndo kila kitu namaamisha achievements za last season na sasa, WAMESHINDA MAKOMBE YOTE MAKUBWA, UCL, UEFA SUPER CUP, COPA and LA LIGA..but hawana pesa kama Man utd ambao wanastruggle kurud juu, na Madrid ambao wanategemea kuretain sehemu yao this season..

Chelsea is a biggest club? Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Mbavu zangu mie!Klabu yenye makombe 5 tu ya E.P.L inayozidiwa hata na Everton,Aston Villa na Tottenham,klabu yenye kombe moja tu la UEFA champions league inayozidiwa hata na Nottingham Forest yenye makombe 2 ya UEFA champions league, klabu yenye uwanja mdogo mno wenye uwezo wa kuchukuwa mashabiki wasiozidi 47,000 ndio iwe kubwa kuliko Manchester United?Thanks for the good sense of humor though!!!
 
Barca wana ma-legend wangapi? Mbona kina Laudrup, Guardiola, Xavi hawajamsema. Roy Keane had leo anamponda SAF,Zlatan anamponda Pep, Terry anamponda Benitez,Casilas anamponda Morinyo angalia Brendan Rodgers alichowafanya kina Agger, Reina, Suso, Gerrard hivyo ni vitu vya kawaida kwenye maisha huwezi kuelewana na kila mtu

Kweli barca alikua aelewan na watu Bayern same thing ata man u wapo baazi mpaka wengine wameomba poo so maisha tu
 
Chelsea is a biggest club? Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Mbavu zangu mie!Klabu yenye makombe 5 tu ya E.P.L inayozidiwa hata na Everton,Aston Villa na Tottenham,klabu yenye kombe moja tu la UEFA champions league inayozidiwa hata na Nottingham Forest yenye makombe 2 ya UEFA champions league, klabu yenye uwanja mdogo mno wenye uwezo wa kuchukuwa mashabiki wasiozidi 47,000 ndio iwe kubwa kuliko Manchester United?Thanks for the good sense of humor though!!!

Mkuu hata uwanja wanaotumia Chelsea sio wao wamekodisha, chelsea haina uwanja.
 
Wewe ndio unayechanganya sasa,Barcelona siyo klabu kubwa zaidi duniani,Madrid ndiyo klabu kubwa kwasababu facts zote zipo hapo.Madrid ina makombe mengi kuliko Barcelona, ina mashabiki wengi kuliko Barcelona, ina utajiri mkubwa kuliko Barcelona na ina mvuto mkubwa kuliko Barcelona (mauzo ya jezi za wachezaji ni uthibitisho mzuri).Ila ukizungumzia klabu yenye mafanikio makubwa kwa miaka ya karibuni (the successful club in recent years) nitakuelewa,Barcelona is a successful club in recent years but not the biggest. That goes to Chelsea as well,Chelsea is not among the biggest clubs in English Premier League (E.P.L) but it is the successful club in recent years. I guess you're a Chelsea fan,no wonder!

Huyo ni mkongwe wa YNWA looserfool .......

Nimependa ulivyofafanua vizuri Successfully Clubs in recently years but not biggest clubs.
 
Lol, wazee wa kuklem, kama kawaida yenu...LA LIGA, COPA, UCL, UEFA SUPER CUP, madrid imevuna nn last season?

Jua kutofautisna kati ya MOST VALUABLE CLUBS IN THE WORLD, na BIGGEST CLUB IN THE WORLD KWA SASA, Manure ya mwaka 1999 ndo ilikuwa considered kuwa The Biggest club in the world kwa wakat ule, unajua ni kwanini??

Madrid, Ac Milan, Juventus, Man utd, Liverpool, Arsenal, Bayern Munich, Inter Milan, Porto etc, ni clubs kubwa duniani kutokana na 1. History (ukongwe). 2. Idadi ya Makombe MAKUBWA, 3. Mashabiki, 4. Legends, 5. Value, 6. Wage bills 7. Stadiums etc na facts zingine kibao, so kwa mtazamo huo, ipi unafikiri ndo team yenye mafanikio makubwa kwa sasa? Nitajie ipi ndo the MOST ATTRACTIVE CLUB IN THE WORLD KWA SASA?

Usiishi kwa kuklemu..

unapata BP bure......
 
Chelsea is a biggest club? Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Mbavu zangu mie!Klabu yenye makombe 5 tu ya E.P.L inayozidiwa hata na Everton,Aston Villa na Tottenham,klabu yenye kombe moja tu la UEFA champions league inayozidiwa hata na Nottingham Forest yenye makombe 2 ya UEFA champions league, klabu yenye uwanja mdogo mno wenye uwezo wa kuchukuwa mashabiki wasiozidi 47,000 ndio iwe kubwa kuliko Manchester United?Thanks for the good sense of humor though!!!

mwacheni mwenzenu abwabwaje kutoa frustration zake za timu yake mbovu!
 
2014-2015.

1. Barcelona
2. Madrid
3. Bayern Munch
4. Chelsea
5. Atletico Madrid.

Jua kutofautisha kati ya "most valuable/richest clubs" in the world na "biggest/top ranked club in the world"...

Kwa sasa 4 richest clubs in the world ni Madrid, Man utd, Barcelona , Arsenal, but Man utd huwez kuwaweza katika rank moja na Barcelona interms of ukubwa na mafanikio ya vikombe kwa sasa, na Arsenal ndo kabisa, huwez kuiweka katika rank moja na Chelsea or bayern na ATM kwa sasa..

Kwa sasa, Club yenye mafanikio makubwa dunian ni BARCELONA, interms of MAKOMBE MAKUBWA na FOOTBALL DOMINATION..now huwez ukanambia katika ranks za soccer Madrid are bigger than Barcelona, utanambia tu kuwa Man utd and Madrid ni MATAJIRI kuliko barca, but not BIGGER than barca katika FOOTBALL DOMINATION..

In Europe (katika UEFA competitions) ATLETICO MADRID wamefanya vizuri for the past 2-3 years kuliko any club ya UK..thats why katika UEFA RANKINGS za mwaka huu (APRIL), imeshika nafas ya 5 nyuma ya chelsea, huku manure ikishika number 10 na Arsenal number 9, but lets not 4get kuwa hiz ni clubs (manure and Arsenal) ni tajiri kuliko Chelsea, Bayern and ATM, but ni BIGGER katika soccer la ulaya kwa sasa zaidi ya chelsea, bayern and ATM IN TERMS OF DOMINATION??? the answer is NO..

Ranks za UEFA zinatoka kila round ndugu.. So sahiv ninapokwambia kuwa Barcelona ndo kila kitu namaamisha achievements za last season na sasa, WAMESHINDA MAKOMBE YOTE MAKUBWA, UCL, UEFA SUPER CUP, COPA and LA LIGA..but hawana pesa kama Man utd ambao wanastruggle kurud juu, na Madrid ambao wanategemea kuretain sehemu yao this season..

Kwahyo Chelsea ni the biggest club?
 
Back
Top Bottom