Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1439326295.284389.jpg
 
Basi ngoja tusubiri tuone Pedro atafanya nini baada ya leo kumalizana naye kila kitu sasa rasmi kwetu
 
mkuu kwa kikosi cha Manchester hiki tunauwezo hata wa kuchukua ligi, karibu kwenye kila namba tunawachezaji zaidi ya mmoja, lakini tatzo kubwa tulilonalo kwa sasa ni van gaal, to be honest nimepoteza imani kabisa na huyu mzee, sijajua kwann huyu mzee amekua mkaidi kiasi hiki. last season kawachezesha wachezaji off position alisingizia ufinyu wa kikosi, Leo hii anamchezesha mata RW na depay kama #10 wakati hyo in namba ya mata original, game ya juzi depay kaonekana flop 7bu haikua namba yake + ugeni wa ligi. tunamlaumu R10 kuwa alijisahau alikua anarudi sana nyuma lakini mi sioni kosa lake maana kama wakumlisha mipira (depay) hafanyi kazi yake ilibidi yy ndio arudi kuitafuta,
anasema hawezi kum-drop young sababu yupo kwenye kiwango chake, mbona Herrera anamuweka benchi? nani asiyejua kuwa huyu dogo kwa sasa yupo vzuri? kipofu gani ambae hakuuona utatu mtakatifu wa Herrera, mata na Valencia? sio lazima wote (young na depay) waanze, mmoja anatakiwa amsubiri mwenzake, tusije tukashangaa anakuja kumchezesha Morgan kama beki, na de gea kama forward.
sijaongea swala LA blind kucheza kama CB coz alisema rojo hakua vzr kwa ile mechi, ngoja tuone mechi ijayo wakati rojo kawekwa benchi na blind kaanza.
#timewilltell .
mkuu umenena vizuri...huyu mzee dawa yake mpaka tufungwe Fans waanze kupiga kelele ndio atabadilika.
Rejea last season alivyokuwa anang'ang'ania formation yake yake ya 3-5-2 haikuworkout mpaka Giggs akamshauri.
Akimpanga herera na Mata,carrick kunakuwa na flow nzuri sana.
Anyway wacha tuone labda tutaona mabadiliko.
 
Messi: "Pedro deserves this for
everything he gave and still gives to
the club. Whatever he decides, we
wish him the best."
#wellcomepedro
 
• Rafael on van Gaal: "I know he didn't like
but I don't know if that's because I am
Brazilian."
• "I'm not the only one who he didn't
like. He told other players they could leave
I can't judge if he doesn't like Brazilians".
 
Inaelekea LVG hapendeki wala kupenda wengi . Huyu sio mtu wa kwanza wala wa pili kusema negative juu ya LVG si kwenu tu hata alipotoka
 
Inaelekea LVG hapendeki wala kupenda wengi . Huyu sio mtu wa kwanza wala wa pili kusema negative juu ya LVG si kwenu tu hata alipotoka

huyu mzee ana matatizo yake mkuu, sina imani nae tena seriously, valdes hajampa hata squad number, siku anaenda mazoezini anakuta namba yake imepekekwa huko U20, kwenye mechi dhidi ya spurs hakumpa hata ile suti official ya timu lakini Valdez ye anachukulia poa tu. mbali na yote hayo Valdez hajawahi kumsema vbaya huyu mzee japokua waandishi wanamuandama sana kwamba anamzungumziaje, any way utd my team & red is my blood.
#GGMU
 
N

LVG ni mkorofi inabidi umfahamu tangu alipotoka, RVP, Valdes,Rafael walishaambiwa wanaondoka ndio maana hata hawakwenda pre-season Marekani.Pamoja na yote still LVG alimsaidia Valdes baada ya kuondoka Barca alifeli vipimo vya afya Monaco still LVG alimuita akawa anafanya mazoezi Carington mpaka alivyokuwa fit ndio akampa mkataba
 
huyu mzee ana matatizo yake mkuu, sina imani nae tena seriously, valdes hajampa hata squad number, siku anaenda mazoezini anakuta namba yake imepekekwa huko U20, kwenye mechi dhidi ya spurs hakumpa hata ile suti official ya timu lakini Valdez ye anachukulia poa tu. mbali na yote hayo Valdez hajawahi kumsema vbaya huyu mzee japokua waandishi wanamuandama sana kwamba anamzungumziaje, any way utd my team & red is my blood.
#GGMU
Alinikera zaidi ktk game moja hivi,sikumbuki Man Utd ilikuwa inacheza na nani,katika gemu hiyo Van-Persie alichezeshwa lakini hakuwa fiti,Rooney sikumbuki kama alicheza hiyo gemu,Falacao alikuwa fiti lakini hata benchi hakuwekwa badala yake aliwekwa Wilson. Bahati mbaya Van Persie hakurudi kipindi cha pili kwasababu ya majeruhi,Rooney alikuwa amechoka mno,ukiangalia benchi yupo Wilson tu wakati huo huo Man Utd ilikuwa imeshafungwa goli moja,Rooney hakuonyesha uhai na Wilson hakuingia,mzee akakomaa na Rooney wake aliyechoka mno mpaka mwisho,tulipoteza hiyo gemu wakati Falcao alikuwa fiti.Mzee kule benchi aliona bora ajaze mabeki watupu na Wilson peke yake.
 
Basi ngoja tusubiri tuone Pedro atafanya nini baada ya leo kumalizana naye kila kitu sasa rasmi kwetu
Huyo ameshaconfirm kuwa ataondoka ingawa alitaka kubaki lakini situation ndio inamlazimu kuondoka
 
Back
Top Bottom