Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Second half. Manchester United 1 Arsenal 0. Scorer being Ji Sung Park in the first half. The game continues...
 
Man Utd wanaelekea kushinda hii mechi. Arsenal will always roll over for Man utd
 
Man Utd wanaelekea kushinda hii mechi. Arsenal will always roll over for Man utd
Magoli waliyokosa nani na anderson should have put this game to bed...A second goal should settle this one till then the game is still open.
 
Haya jamaa pamoja na kukosa sitters na penalti tumepata point tatu muhimu beki yetu imecheza vizuri sana maana imewaweka mfukoni watoto wa arsenal.
 
Hongereni kwa kuwapa kichapo hao wapiga kelele, angalau tutapumua.
 
Mechi wamempa Web ni shabiki ile mbaya anawapendelea sana Manure na Chelsick ... .... .... lakini leo ngoma kubwa watalia tu.

Mmeshaanza kulialia kabla ya game

Arsenal watavumaje mbele ya Manure??..

fergie_wiley_516x350_60898a.jpg

Mzee wa vitisho huyu hapa .... .....
kama tulivyosema Arsenal 4 yellow cards ....Manure 0

Licha ya kufanya fujo 8 kwenye kiwanja kisichokuwa na hadhi
ya mpambano kama huu.



Mchezaji wa 12


Haya mtakuja Emirates tutaona kama watamleta tena
huyu mchezaji bandia


Naona na wanazi wengine wamefufuka khe khe kheeeeeeeeeee
 



fergie_wiley_516x350_60898a.jpg

Mzee wa vitisho huyu hapa .... .....
kama tulivyosema Arsenal 4 yellow cards ....Manure 0

Licha ya kufanya fujo 8 kwenye kiwanja kisichokuwa na hadhi
ya mpambano kama huu.



Mchezaji wa 12


Haya mtakuja Emirates tutaona kama watamleta tena
huyu mchezaji bandia


Naona na wanazi wengine wamefufuka khe khe kheeeeeeeeeee
Wewe ni mshabiki pekee wa arsenal unayelalamika kuhusu refa hivi ulikuwa unaangalia mechi gani? Kubali mmefungwa fairly and squarely hizi yengele za sijui uwanja na refa hazina mshiko.
 



fergie_wiley_516x350_60898a.jpg

Mzee wa vitisho huyu hapa .... .....
kama tulivyosema Arsenal 4 yellow cards ....Manure 0

Licha ya kufanya fujo 8 kwenye kiwanja kisichokuwa na hadhi
ya mpambano kama huu.



Mchezaji wa 12


Haya mtakuja Emirates tutaona kama watamleta tena
huyu mchezaji bandia


Naona na wanazi wengine wamefufuka khe khe kheeeeeeeeeee


Kama nilivyosema hapo chini, vilio vimeanza:

Huyo Wacha utamsubiri mpaka kuche, yupo anachungulia tu. Kawaida yake ni kwamba hawezi moto wa live match, anasubiri kwanza aone matokeo, wakishinda anawahi hapa na mapicha kibao, wakichapwa kama leo atavizia hapa watu hakuna kesho yake au usiku sana anaweka vilio vyake hapa kwamba wameonewa na refa au timu pinzani wamecheza rafu, huyu ni shabiki pekee wa Arsenal ambaye sijawahi kumsikia akikubali Arsenal kuzidiwa, hata walipochapwa na Barca alisema wameonewa na wao ndio walicheza vizuri....inawezekana kabisa ana undugu nayule Mkenya aliyejinyonga....amekunywa maji ya bendera kama vile vizee vya CCM, ana kila sifa za ki-CCM lazima atakuwa mkereketwa.
 
Kazi safi sana walikuwa wanapiga kelele sana oo Nasri yuko kwenye form
 
Washukuru sana MUNGU hawa ilikuwa wapigwe 5 bila
 
Wasaalam kutoka huku maombolezoni!.
Hongera Manure fans wenzangu wte, na senks kwa wote mliokuwa mnatusapoti, Peasants kwa niaba ya wapinzani (wth exception of arseNOOls), senks kwa kujibu hoja vzur, na senks BAADHI ya arseNOOls fans ambao ni waungwana na wanakubali matokeo. ni vile natumia mobile kusoma na ku post comments siwez gonga senks kwa post husika.
TANGU LINI NGOMA YA WATOTO IKAKESHA?
 
Special salaam kwa rafiki angu Wacha1.
Unajua mm nakuheshimu na kukuheshimu sn kaka?, usiniangushe bana...! mbona huwa waepa sana HEAD to HEAD debate/argumentation wakati mechi yaendelea?, mbwembwe zako za MAPICHA walaaa hazifanani na aftermath reaction wakat wa mechi. embu kuwa basi kina AW, Genaika, BB, Mbu, Kweli, Bnltnd, etc etc ambao pamoja na kelele zao zisokuwa na kuchwa wala miguu huwaga hawakimbii...lol!?????
Unless we brand the a.k.a...Wacha1 the Great of the Greatest the Conquer of the Conquerest the COWARD of the COWARDEST! hahahahaha!
(mnisamehe english yangu apo juu)
 
Naona watatulia sasa hivi hasa huyo Wacha1 maana kabla ya game alikuwa anapiga kelele sana
 
Asante bwa' Shem...apo umenena! tuko pamoja hadi migombani..lol!
<p>
<font face="Comic Sans MS">Hapa Xmas saafi kabisa....mwendo wa mbege na beer kwa wingi.....</font></p>
<p>&nbsp;</p>
<p>
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
Back
Top Bottom