Asante bwa' Shem...apo umenena! tuko pamoja hadi migombani..lol!
Na mwaka huu ni mwendo wa kukomaa na bikra.....:A S soccer:
Asante bwa' Shem...apo umenena! tuko pamoja hadi migombani..lol!
Namtafuta Ngongo nina miadi naye leo naona kapotea .....
Special salaam kwa rafiki angu Wacha1.
Unajua mm nakuheshimu na kukuheshimu sn kaka?, usiniangushe bana...! mbona huwa waepa sana HEAD to HEAD debate/argumentation wakati mechi yaendelea?, mbwembwe zako za MAPICHA walaaa hazifanani na aftermath reaction wakat wa mechi. embu kuwa basi kina AW, Genaika, BB, Mbu, Kweli, Bnltnd, etc etc ambao pamoja na kelele zao zisokuwa na kuchwa wala miguu huwaga hawakimbii...lol!?????
Unless we brand the a.k.a...Wacha1 the Great of the Greatest the Conquer of the Conquerest the COWARD of the COWARDEST! hahahahaha!
(mnisamehe english yangu apo juu)
According to the latest weakleaks reports released by JF intelligence agents Rev. Masa na Peasant, revealed tht Wacha1 is no longer, it is presummed tht he has 'mkwawanize' after manure defeat, PM zilizonaswa kati yake akiwasiliana na wenzake kina Mbu na AW akiwaaga na kuwakabidhi majukumu ya ku post mapicha humu ndani.
RIP Wacha1! lol!
BTW.. kama upo hai jitokeze basi Wacha1, we miss u dearly.
Grory grory man utd
Arsenal watavumaje mbele ya Manure??..
Wewe ni mshabiki pekee wa arsenal unayelalamika kuhusu refa hivi ulikuwa unaangalia mechi gani? Kubali mmefungwa fairly and squarely hizi yengele za sijui uwanja na refa hazina mshiko.
Kazi safi sana walikuwa wanapiga kelele sana oo Nasri yuko kwenye form
Washukuru sana MUNGU hawa ilikuwa wapigwe 5 bila
Wasaalam kutoka huku maombolezoni!.
Hongera Manure fans wenzangu wte, na senks kwa wote mliokuwa mnatusapoti, Peasants kwa niaba ya wapinzani (wth exception of arseNOOls), senks kwa kujibu hoja vzur, na senks BAADHI ya arseNOOls fans ambao ni waungwana na wanakubali matokeo. ni vile natumia mobile kusoma na ku post comments siwez gonga senks kwa post husika.
TANGU LINI NGOMA YA WATOTO IKAKESHA?
Hapa Xmas saafi kabisa....mwendo wa mbege na beer kwa wingi.....
Naona watatulia sasa hivi hasa huyo Wacha1 maana kabla ya game alikuwa anapiga kelele sana
Na mwaka huu ni mwendo wa kukomaa na bikra.....:A S soccer:
Special salaam kwa rafiki angu Wacha1.
Unajua mm nakuheshimu na kukuheshimu sn kaka?, usiniangushe bana...! mbona huwa waepa sana HEAD to HEAD debate/argumentation wakati mechi yaendelea?, mbwembwe zako za MAPICHA walaaa hazifanani na aftermath reaction wakat wa mechi. embu kuwa basi kina AW, Genaika, BB, Mbu, Kweli, Bnltnd, etc etc ambao pamoja na kelele zao zisokuwa na kuchwa wala miguu huwaga hawakimbii...lol!?????
Unless we brand the a.k.a...Wacha1 the Great of the Greatest the Conquer of the Conquerest the COWARD of the COWARDEST! hahahahaha!
(mnisamehe english yangu apo juu)
According to the latest weakleaks reports released by JF intelligence agents Rev. Masa na Peasant, revealed tht Wacha1 is no longer, it is presummed tht he has 'mkwawanize' after manure defeat, PM zilizonaswa kati yake akiwasiliana na wenzake kina Mbu na AW akiwaaga na kuwakabidhi majukumu ya ku post mapicha humu ndani.
RIP Wacha1! lol!
BTW.. kama upo hai jitokeze basi Wacha1, we miss u dearly.
Wanajamvi namtafuta Wacha 1 simuoni kabisa jana tulikuwa na miadi lakini hakutokea uwanjani bila shaka alijua bakora zingemhusu !!!!.
Heshima kwako Manda,
Mkuu Wacha1 mjanja kweli kakimbia tangu jana unafikiri yeye mjinga ajipendi sijui tutumie mbinu gani tumkamate anakimbia adhabu ya bakora.
Recipient Users:
- Yesterday 02:54 PM
Wacha1![]()
JF Senior Expert Member![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Join Date Mon Dec 2009 Posts 2,567 Thanks 1,120 Thanked 1,309 Times in 918 Posts Rep Power 26
Mechi saa tano usiku vipi nije kukuchukua wapi?![]()
Mkuu vipi?
Nipe number yako basi tuwasiliane.
Tumekuzoea wewe kulialia ni kawaida yako,haujaanza leo na hautamaliza leo,nakwambia kama Mr. Bean ataendelea kuwa kocha wenu tutaendelea kuwapa doziBJ upo Duh! nilifikiri umetangulia mbele ya haki .... khe khe e au matusi ya Chelsick yalikukimbiza karibu sana ....
 
Khe khe inategemea umeangalia mechi gani so far what we saw ni Fletcher kum-manhandle referee na kama asingekuwa Webb angeambulia kadi hata statistics ukiangalia faulo 8 hamna kadi absolutely pathetic, tena angalia hali ya uwanja ndio sababu hata Fergi mwenyewe alikuwa amenyong'onyea baada ya mechi angalia tena kama una facilities ni aibu kwa timu kubwa kama Manu kumshambulia refa na kubebwa kama watoto wadogo. Hiyo ni halftime bro karibu Emirates 30th April 2011 kwenye second half.
Muulize Webb kwa nini hakutoa kadi kwa rafu aliyofanyiwa. Webb ni wenu tu we know that lakini ngoma bado mbichi.
 
khe khe khe kama hamuwezi kufunga kutoka maguu kumi na mbili mtaweza kwenye open play katika carpet safi khe khe kheeeee ndoto ya wendawazimu ..
 
Wacha ngebe kwa mpira mliocheza wa kubebwa sahauni.
 
X-Mass kwako tayari khe? karibu sana usiwe unakimbia jukwaa.
 
Kwa mpira upi wa kubebwa?
 
Bikiri nani kama sio Fletcher atakuja Emirates ndio atajua kwamba mpira unachezwa vipi?
![]()
Mnafiki Webb huwezi kuchezesha mechi kwa kuwapa kadi timu moja tu
na nyingine unawakonyeza .... Arsenal 4 yellow cards Manure 0 wakati walifanya faulo 8
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwa wale ambao hawakujibiwa basi wajue wako Lupango kwenye monitor yangu wanajijua khe khe kheeeeeee
According to the latest weakleaks reports released by JF intelligence agents Rev. Masa na Peasant, revealed tht Wacha1 is no longer, it is presummed tht he has 'mkwawanize' after manure defeat, PM zilizonaswa kati yake akiwasiliana na wenzake kina Mbu na AW akiwaaga na kuwakabidhi majukumu ya ku post mapicha humu ndani.
RIP Wacha1! lol!
BTW.. kama upo hai jitokeze basi Wacha1, we miss u dearly.
Tumekuzoea wewe kulialia ni kawaida yako,haujaanza leo na hautamaliza leo,nakwambia kama Mr. Bean ataendelea kuwa kocha wenu tutaendelea kuwapa dozi
Wacha1 spin it however you want ukweli unabaki jana mlishikwa vizuri na flowing football yenu ilitibuliwa, eti mnalalamikia pitch gtfoh...kwani man utd walikuwa wanachezea pitch tofauti na arsenal? Katika excuses mbovu za kufungwa kwenye soka hii iko kwenye top 3. Mkuu wewe umeona foul 8 za man utd lakini 17 za arsenal hukuziona majority ya hizo zimetoka kwa song wachezaji wako walianza kucommit fouls right from the get go.
Kuwa kama wenzako akina aw,mbu,richard et al wamekubali mmefungwa fairly na timu iliyocheza vizuri period, mechi imeshapita tusubirie mechi zijazo tu.
Lol rio ferdinand kakubali wapi?Sasa in your eyes rio na the rest of the team waliharibu mpira ama waliwaweka wachezaji wako mfukoni including in-form nasri? Wacha1 kitu kimoja ambacho hakijabadirika siku zote man utd ikiifunga arsenal ni visingizio; mfano tulivyowafunga 3-1 (emirates) msimu uliopita mlisema sijui gallas alikuwa out of form, season before that tulivyowafunga kwenye cl mkasema ooh mmetufunga kwa sababu mna ronaldo yani kila siku ni visingizio tofauti tuuu stfu and play ebo!Kwa hiyo hao uliowataja ndio unaowaamini basi wakisema lazima wote tuseme hewala? Je, wewe hukuona kumfuu la Fletcher kwa referee? Sasa hata kama unaangalia uwiano faulo 17 = 4 cards kwa Arsenal za Manure ziko wapi?
Ubovu wa kiwanja chenu unachangia kwa sababu mmezoea kucheza kwenye matofali au Vipi? Ukisema hivyo mbona Rio Ferdinand mwenyewe amekubali kwamba walikuwa wamekwenda kwa jazba ili kuharibu mpira? Na hilo utasemaje? Vile vile usisahau mchezaji wa Arsenal alimaliza mpira na jezi iliyotobolewa (Kuchanika) Sijui ilichanika vipi? Labda utujulishe.