Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Congrats MANU fans (BJ & Co).... we did not deserve a single point from this match

halafu BAK uliipania hii mechi naona itakupa usingizi mnono,ha ha..siku hizi arsenal haivutii game lake, labda vijana wamechoka kimawazo kutopata makombe.
Arsene Wenger do something mkuu? Mbu afadhali umeanza kuifananisha arsenal na chelsea..manure level nyingine!! poleni
 
teh teh mpoo? napita tu watani..

...ha ha ha!, BJ kumbe ulikuwepo?

The longest four minutes.

...kumbe huwa hamjiamini ee? Anyway, Big Up kaka... mmeendeleza uteja. Aibu hii.

kweupe mkuu tumekuja kukamilisha ratiba tu hapa tunaangalia mbele .

...kwakweli kaka. Anyway, maisha yanaendelea. "Breaking News"; Big Sam - Sam Allardayce kibarua chake kishaota majani huko,

Bado ACHENI LOTE wa Chelsea!
 
Moja ya mechi mbovu kabisa tulizopata kucheza

kweli ilikuwa siku yetu ya kuchapwa
 
halafu BAK uliipania hii mechi naona itakupa usingizi mnono,ha ha..siku hizi arsenal haivutii game lake, labda vijana wamechoka kimawazo kutopata makombe.
Arsene Wenger do something mkuu? Mbu afadhali umeanza kuifananisha arsenal na chelsea..manure level nyingine!! poleni

Yaani BJ we acha tu! yaani leo ilikuwa hovyo kabisa....na Drogba anatusubiri Dec 27 ili ajisafishie jina baada ya kuwaudhi wapenzi wake jana kwa kukosa penalti...kuna mchapo mwingine mzuri sana kati yenu na Chelsea hapo Dec 19. BJ naona uliamua kujibanza mahali mpaka mechi imekwisha ndiyo ukaamua kuibuka hahahahahaha.... hongera zenu...asiyekubali kushindwa....
 
Unaambiwa line up yote ya arsenal iliyocheza leo ni clichy pekee yake ana medal ya epl wengine hola. Nilitaka tufunge magoli mengi lakini ushindi ni ushindi tuu ngoja nimtafute mbu na wacha1.
 
Hongera kwa utabiri wako mzuri....lol

Hahahahaha nilikwambia tangu jana kwamba hata yule Sheikh Yahya wa Hussein mnajimu/mtabiri mashuhuri sana katika Afrika huwa anaboronga...itakuwa mimi BAK! LOL! J'pili nitawasaidia kuwashangilia ili muwachape MANU.
 
Hahahahahahahah we mchokozi sana LOL! Hakuna kuweka picha leo.

Najua kwamba haziwekwi, mpaka mshinde....lakini jamaa wako fast sana kuweka kule kwenye jukwaa langu la Chelsea kila tukifanaya vibaya, surely that is against FAIR PLAY principle.
 
Hang in there!

images

...Badluck wakuu, vita vinaendelea!
There's no reason kusikitika sana, Chelsea wenzetu weshazoea kufungwa hizi goli moja moja!

Zamu yenu ya kuchukua vichapo ndo imefika, jumamosi Stoke City wanakuja kuwavunja miguu na kuwalainisha tayari kwa kuliwa na Drogba tarehe 27....what a Christmas for Arsenil!!
 
Unaambiwa line up yote ya arsenal iliyocheza leo ni clichy pekee yake ana medal ya epl wengine hola. Nilitaka tufunge magoli mengi lakini ushindi ni ushindi tuu ngoja nimtafute mbu na wacha1.

...ha ha, nipo kaka, hongereni sana.
 
Zamu yenu ya kuchukua vichapo ndo imefika, jumamosi Stoke City wanakuja kuwavunja miguu na kuwalainisha tayari kwa kuliwa na Drogba tarehe 27....what a Christmas for Arsenil!!

...dah, hiyo nyimbo mbaya sana bro. Stoke wana yule mrusha mipira wao utadhani Yusuf Ismail Bana,...anaitwa DELAP. Nuksi kama nini yule.
 
[

...kwakweli kaka. Anyway, maisha yanaendelea. "Breaking News"; Big Sam - Sam Allardayce kibarua chake kishaota majani huko,

Bado ACHENI LOTE wa Chelsea!

Keep on waiting son! Carlo haondoki leo, mpaka ashinde treble, hii ndio ambition ya timu kubwa kama Chelsea. Kwa timu kama Arsenal Academy Club (Evra, 2010), ambiton ni kushinda Mickey Mouse Carling cup.
 
JoseCarlingCup_468x339.jpg

....ohhh yeah :thumb:,....watani wetu waki celebrate na Mickey Mouse Cup!

_42612527_winners_getty416.jpg
 
Unaambiwa line up yote ya arsenal iliyocheza leo ni clichy pekee yake ana medal ya epl wengine hola. Nilitaka tufunge magoli mengi lakini ushindi ni ushindi tuu ngoja nimtafute mbu na wacha1.

Huyo Wacha utamsubiri mpaka kuche, yupo anachungulia tu. Kawaida yake ni kwamba hawezi moto wa live match, anasubiri kwanza aone matokeo, wakishinda anawahi hapa na mapicha kibao, wakichapwa kama leo atavizia hapa watu hakuna kesho yake au usiku sana anaweka vilio vyake hapa kwamba wameonewa na refa au timu pinzani wamecheza rafu, huyu ni shabiki pekee wa Arsenal ambaye sijawahi kumsikia akikubali Arsenal kuzidiwa, hata walipochapwa na Barca alisema wameonewa na wao ndio walicheza vizuri....inawezekana kabisa ana undugu nayule Mkenya aliyejinyonga....amekunywa maji ya bendera kama vile vizee vya CCM, ana kila sifa za ki-CCM lazima atakuwa mkereketwa.
 
Leo kwa kweli Arsenal haijacheza vizuri na labda wajaribu kutafuta la kusawazisha na la ushindi.

Leo tumepiga game hovyooooo kinoma.hakuna kitu chochote sio pasi wala nini .

Moja ya mechi mbovu kabisa tulizopata kucheza

kweli ilikuwa siku yetu ya kuchapwa

This's kinda arrogance!! Kwanini hamtoi credit kwa Manchester kwa kucheza kuliko ninyi?!! Sio kweli kwamba mmecheza vibaya, ni kiwango cha Manchester ndio kimefanya muonekane wa kawaida sana.
 
Back
Top Bottom