JONATHAN SPECTOR came back to haunt Manchester United as they were humiliated in the Carling Cup. Spector, who left Old Trafford in 2004, grabbed a first-half double to set up this hammering at Upton Park. Carlton Cole then completed the rout by adding two more after the break. And the cup holders had no reply as they were given a famous walloping by Avram Grant's Hammers.
Waungwana I must admit kuwa tumechezea kichapo cha mbwa mwizi leo kutoka kwa West Ham.
West Ham 4 - 0 Manchester United Full Time.
Kombe ni la Arsenal sasa angalau watapata something baada ya miaka mitano.
...sina la kuwafariji zaidi ya kuwapa mkono wa pole.:A S 109:
Hiki kichapo kinanikumbusha 05/06 tulichezea 4 -1 kutoka kwa Middlesbrough, mkuu sio dharau ni hali halisi....leo refa kaona aibu kuongeza dakika, kawaida refarees huwapa mpaka dakika ya 97 mrudishe,
lakini nne nyingi wazee 😛ray2:
...uhh,...sasa hizo dharau bana...ha ha! :thumb:
Afadhali tumepunguza makombe ya ushiriki katika kulekea kubeba TREBLE this season. Hayahaya Arsenoools..huu ndo mda wa kuatakata AT LEAST na Carling Cup, manake nasikia kabati lenu la makombe liko......
Kombe ni la Arsenal sasa angalau watapata something baada ya miaka mitano.
...uhh,...sasa hizo dharau bana...ha ha! :thumb:
Hayahaya Arsenoools..huu ndo mda wa kuatakata AT LEAST na Carling Cup, manake nasikia kabati lenu la makombe liko......
Washika magobole wameshinda basi hatunywi maji leo..
........EMPTY..... i mean with Old Old Old Silverware's..!
Mbaazi akikosa maua.
Woolwich fat Arses for Mickey Mouse Cup, that's all they can achieve!
....:whoo😛easant, kwema huko?
Hii mijitu inaongea baraaaa! siku wakibahatisha hata nafasi ya pili EPL i cant imagine kama humu jamvini kutakalika na kulalika....agrrrrrrrr,
,...he he hheehhehe!, hamadi ('pwenti tatu') kibindoni!, ...mna jibu?
Kama ni mchezo wa draft, leo tumekula hadi kingi! :whoo: