Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,402
- 320
Kipindi cha lala salama hiki, tusifanye makosa.
kabisa mkuu
Kipindi cha lala salama hiki, tusifanye makosa.
Mwendo wa kukomaa na bikra...
St. RR
Eti hvi, ukikomaa KUBWA wasipige ila wakawa wanapiga NDOGO, bado utaendelea kuwa BIKRA?
Wito; Mtakatifu RR utuombee.
:A S soccer:
BTW: Wewe hukwalifai kuombewa...
Wadau wa Manutd nina ndoto baada ya mechi za leo vijana wa Sir Alex wataongoza ligi kwa mara ya kwanza.Unajua tena Manutd ikikaa kileleni hakuna wa kuwaondoa hadi kieleweke.Chelsea watadundwa kama kawaida yao Arsenal watatoa sare.
Manchester United have agreed a three-and-a-half year deal with Aalesunds FK to sign Danish international goalkeeper Anders Lindergaard for an undisclosed fee.
The 26-year-old passed a medical at Manchester and has agreed personal terms with the club. He will train with United throughout December yet will not be able to feature until the January transfer window opens in 2011.
Sawa, tutasubiri.
Sipingi kwamba vijana Wa Wenger wanatisha huu mwaka,ila bado ligi inaendelea.
Tuwe pamoja!
5 bila sasaHadi sasa Manu 3 Black Bun 0 UPO Hapo! Red Devils noma.