Pongezi kwa kujibebea pointi 3 muhimu, lakini bado sijakuwa convinced kwamba bad patch kwenu imepita, wachezaji 9 lakini bado haikuwa walk - over, mwaka huu naona ligi haina mwenyewe, sio Chelsea, Utd, Arsenal, Spurs wala City wote tunasuasua tu.Duh kadi mbili nyekundu ndani ya dakika 3.
Ahsante.Pongezi kwa kujibebea pointi 3 muhimu, lakini bado sijakuwa convinced kwamba bad patch kwenu imepita, wachezaji 9 lakini bado haikuwa walk - over, mwaka huu naona ligi haina mwenyewe, sio Chelsea, Utd, Arsenal, Spurs wala City wote tunasuasua tu.
ok welcome back agin, its Man U VS Rangers, tonight
Duh!..hii thread ilishakimbia page 2, nimeisaka sana.....Here it is...Gooooo Manure!
Pamoja Mkuu!
ha haaa mkuu nimetumia 20dk kuitafuta
Mm nikajua wameshai-chakachua. Lol!