Mwenzako anakataa kuwa hamjapaki bus leo, Chelsea walikuwa na possession 29% ndio lowest possession since Opta wameanza kurekodi EPL statistics ,sisi tunasonga mbele. I hope Carrick au Blind atakuwepo next game,
Mkuu tuwe tumepaki bus au hatukupaki...hoja yangu ni kwamba Hazard Na Drogba hawa sisi tulijua kabla ya huu mchezo ndio watakua ktk eneo lenu uwanjani lkn hawa wengine wote watakua ktk eneo letu...nimekua naifatilia ManU hivi karibuni sikuona njia nzuri ya kuvunja kabisa timu yenu km sio kupanga kikosi km hichi cha Leo na kucheza hivi....kwa hiyo ushishangae Mkuu....
Mwenzako anakataa kuwa hamjapaki bus leo, Chelsea walikuwa na possession 29% ndio lowest possession since Opta wameanza kurekodi EPL statistics ,sisi tunasonga mbele. I hope Carrick au Blind atakuwepo next game,
Hahaha angalia unavyojichanganya...inaonesha unalalamika tu kwa kufungwa ila naenda na wewe mpaka utakapoenda kulala.
1. Siku hizi possession ndo zinatoa points? Niambie mechi ngapi arsenal (mabingwa wa possession) wamefungwa ilhali walikuwa na possession kubwa? Football is all about tactic. Mou alijua hilo ndo maana akapanga kikosi chake vile.
Alijua hamji kucheza beautiful football ila kupeleka mipira kwa fellaini akamweka Zouma. Akajua rooney atakuwa kati akambakiza Matic. Wengine wote hawakuwa tishio na hakuna mchezaji wenu aliyeonesha tishio lolote kwa consecutive minutes hata mmoja.
Angalia stats zimeekwa dailymail uone possession yenu kuwa imechukuliwa na kina Smalling (mabeki) labda kiasi na rooney. Pundits wenyewe wamekubali hamjacheza tactical game mmeenda kwa ku kremu ilhali kila mtu alijua jinsi mou atacheza. Kwa nini hamkuwaweka mata na maria waanze. Doing thr same thing expecting different results???!
2. Hapo kwa mou kula matapishi yake ndo nn umeongea sasa...we jamaa kalale tu. Angekuwa ye ndo kapakiwa basi leo akalalamika ndo ungesema amekula matapishi labda ungesema leo mou katapika tena..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeee
Na ngoja niwashe desktop kesho mtaliaaaa mi siondoki hapa mpaka jumatatu ndo nahamia arsenal.
Cc: Ntuzu
Chifu wapi nimelalamika?!?
Unajua maana ya kulalamika?
Kusema Rentboys walicheza 18th century footie ni kulalamika? Kwani stats si zinaonyesha how defensive was Chelshit?!?
Anyway, mmeshinda hilo ndilo la muhimu. Hongereni.
Game ya leo only Drogba na Hazard ndio wamecheza kwenye half yetu the rest wote mlikuwa nyuma (Iva, Azpi, JT, Cahil, Oscar, Matic, Zouma) wote walikuwa kwenye half yenu , Assist hata beki anafanya assist
Kigodoro Ni chenu hiki muwe na mkesha mwema.....usiku mwema wapendwa..
Nashakuru sana kumwambia ukweliDakika 90 Man U wametengeneza nafasi moja tu kipindi cba kwanza Rooney akakosa
Chelsea wamegongesha hadi mwamba kipindi cha kwanza
Chelsea walistahili ushindi
Dakika 90 Man U wametengeneza nafasi moja tu kipindi cba kwanza Rooney akakosa
Chelsea wamegongesha hadi mwamba kipindi cha kwanza
Chelsea walistahili ushindi
Nafikiri labda tuliangalia game tofauti hukuona shuti la McNair lolivyookolewa na Courtous, hukuona Falcao alivyogongesha mwamba. Utatengeneza nafasi nyingi kivipi wakati timu nzima inacheza kwenye half yao
mwenzako anakataa kuwa hamjapaki bus leo, chelsea walikuwa na possession 29% ndio lowest possession since opta wameanza kurekodi epl statistics ,sisi tunasonga mbele. I hope carrick au blind atakuwepo next game,
Nafikiri labda tuliangalia game tofauti hukuona shuti la McNair lolivyookolewa na Courtous, hukuona Falcao alivyogongesha mwamba. Utatengeneza nafasi nyingi kivipi wakati timu nzima inacheza kwenye half yao
Mmh yakweli hayaDakika 90 Man U wametengeneza nafasi moja tu kipindi cba kwanza Rooney akakosa
Chelsea wamegongesha hadi mwamba kipindi cha kwanza
Chelsea walistahili ushindi
Nafikiri labda tuliangalia game tofauti hukuona shuti la McNair lolivyookolewa na Courtous, hukuona Falcao alivyogongesha mwamba. Utatengeneza nafasi nyingi kivipi wakati timu nzima inacheza kwenye half yao
Mmh yakweli haya
Umeacha wapi ile ya falcao na Mata walizopiga nje
Mmepoteza mechi na inabaki hivyo!Haya sijui mliongoza kwa possession hayana nafasi yyt ktk soka la leo
Jipangeni mechi ijayo na Everton la sivyo mhhhh Lukakuuu is getting better and better
Leo hii nawashangaa wengine kwa kudai penalty na kumlaumu Mike Dean....Mike Dean alikua sahihi kabisa kuwanyima ManU penalty kwasababu alikua karibu kabisa na eneo la tukio akiona namna Cahill akifatwa na mchezaji Wa ManU na kufanyiwa madhambi makusudi....
Ile ingekuwa penalty ningevunja TV yangu kwa hasira!Nilicho kiona leo ni umakini wa hali ya juu wa beki za Chelsea
Man U hawakuwa na mbinu mpya