Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwenzako anakataa kuwa hamjapaki bus leo, Chelsea walikuwa na possession 29% ndio lowest possession since Opta wameanza kurekodi EPL statistics ,sisi tunasonga mbele. I hope Carrick au Blind atakuwepo next game,

Mourinho insists it was part of the game plan to make their important Man U players disappear,no body saw them they were in our pocket.
 
Kubali umepoteza game kwa sababu ya quality ya wachezaji wa Chelsea

Tikifungwa tuwapongeze walio kupiga then jipange mechi ijayo

Game tumepoteza na tunasonga, game tumepoteza kwa TACTICS za Morinyo sio quality ya Chelsea players. Cha ajabu nakushangaa hadi wewe unasema ManU walitengeneza nafasi moja ndani ya dakika 90
 
Ata tukikubali kwamba Rooney, McNair na Falcao hawa walipiga mashuti on target... Kubalini tu kua Jana mlibanwa njia zenu zote zote...mlishindwa kupitisha mipira kati....mkashindwa kupitisha mipira kupitia wings....na mkaishiwa mbinu kabisa...na mkabaki kuwaachia mabeki wenu kuchezea mpira tu ktk eneo Lenu!

Angalia mpira wenu na Man City mtaona namna mlivotengeneza nafasi nyingi na kufunga lkn kwa mchezo wenu Jana mlikua butu na kuchanganyikiwa kadri muda unavokwenda....

Timu nzima kucheza ktk half yao sio shida kwanini na nyie msihamie ktk half yao km rahisi hivo?

kaka Chelsea jana alikuwa na strategy ya kujihami zaidi kuliko kushambulia ndomana alichezesha mabeki watano kwa pamoja lengo ni kudefend na counter attack..kwa mabeki wa tano ilikuwa ngumu sana Manu u kutengeneza nafasi nyingi za kufunga.
 
Attachments

  • 1429424001988.jpg
    1429424001988.jpg
    76.8 KB · Views: 119
kaka Chelsea jana alikuwa na strategy ya kujihami zaidi kuliko kushambulia ndomana alichezesha mabeki watano kwa pamoja lengo ni kudefend na counter attack..kwa mabeki wa tano ilikuwa ngumu sana Manu u kutengeneza nafasi nyingi za kufunga.

Mlikua hamjui hili km Chelsea wangeweza kufanya hivo....?kina Garry Neville waliona kabla ya mechi uwezekano mkubwa Wa Mou kumuweka Zouma km kiungo mkabaji sanjari na Matic...kwanini msifanyie mazoezi ya kuvunja hii ngome?

Mnalalamika nini bhana...nyie kaeni mtulie...
 
Mourinho insists it was part of the game plan to make their important Man U players disappear,no body saw them they were in our pocket.

Hahahahaaa haki ya nani Mourinho Fundi....jamaa huko aliko atakua na furaha ya kubwa sn hasa baada ya kuona mbinu zake Jana zimefanya kz kwa asilimia kubwa sn...

Kweli ManU waliwekwa mifukoni......
 
Ata tukikubali kwamba Rooney, McNair na Falcao hawa walipiga mashuti on target... Kubalini tu kua Jana mlibanwa njia zenu zote zote...mlishindwa kupitisha mipira kati....mkashindwa kupitisha mipira kupitia wings....na mkaishiwa mbinu kabisa...na mkabaki kuwaachia mabeki wenu kuchezea mpira tu ktk eneo Lenu!

Angalia mpira wenu na Man City mtaona namna mlivotengeneza nafasi nyingi na kufunga lkn kwa mchezo wenu Jana mlikua butu na kuchanganyikiwa kadri muda unavokwenda....

Timu nzima kucheza ktk half yao sio shida kwanini na nyie msihamie ktk half yao km rahisi hivo?

Huwezi kutengeneza nafasi katika mazingira yale, nafasi zilikuwepo against City sababu hawakukaa nyuma. kupaki basi sio dhambi ni just tactics kwenye football
 
That was Chelsea's lowest possession not the overall lowest possession....as you wanted us to believe!!!

Hukunielewa,hapa tunazungumzia Chelsea Vs United. Hutaki kukubali kwamba mlicheza defensive game ndio maana nilikupa hizo statistics
 
It's not a crime tatizo hamtaki kukubali kuwa mlipaki bus

Belo uliposema sio dhambi kupaki basi Mimi nilifika mwisho kujadiliana wewe juu ya hili swala ndio maana nikakushuru...

Sasa unapotaka kusisitiza kua tulipaki basi hapo unataka tuendelee kurumbana....

Km tulipaki basi tulifika vipi ktk eneo lako na kufunga goli? Au hilo basi lilipakiwa ktk half yenu?

Unachoshindwa kuelewa wewe ni kwamba unapokua na holding midfielders wawili na wawili wengine midfielders hapa automatically unakua na defensive game no matter umepaki basi au unakabia mipira ktk dimba la juu katikati ya uwanja...Chelsea kwa Jana hamukuisuma nyuma na ikabaki kupaki basi tu... Wachezaji wa 8 wa Chelsea walikua ktk eneo lao Kuhakikisha hamuleti madhara yoyote kwasababu hawakutaka kupoteza ule mchezo...

Kocha wako aliishiwa mbinu mkubali tu.....na anavojitapa kwamba msimu ujao atatufunga anazidi kututia maganzi tumuangalie kwa ukaribu Zaidi kila afanyacho km tulivyomuangalia ktk hizi michezo yenu 5 ya hivi karibuni mliofunga watu....
 
Last edited by a moderator:
wewe kubali tu jana muliolewa, haijalishi hata kama huyo mwanaume alikuwa mlevi.

Duh!!!! Watoto wa Mournhio mna kelele sana kama baba yenu, yaani kila mahali ni kelele nyumbani kelele,humu mtandaoni kelele hadi makanisani leo kelele kisa Chelsea imeshinda hamna faraja kokote....... Ngoja nijilalie tu......
 
Pole mamito ngoja tukae kimya 🙁🙁🙁🙂......tatizo wenzako wanatuponda sn....ndio maana twalazimika kujibu hoja zao...
 
Pole mamito ngoja tukae kimya 🙁🙁🙁🙂......tatizo wenzako wanatuponda sn....ndio maana twalazimika kujibu hoja zao...

We si umeshinda bana wasiwas wa nini wakati point 3 zako kibindoni waacheni waongee tu japo wanaongea ya ukweli this is how to regain the momentum.... Asubuh njema wote.....
 
We si umeshinda bana wasiwas wa nini wakati point 3 zako kibindoni waacheni waongee tu japo wanaongea ya ukweli this is how to regain the momentum.... Asubuh njema wote.....

Asante....

Asubuhi njema na kwako pia Jf sports lady.
 
Back
Top Bottom