Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man U walikuwa bora leo lkn wamepoteza!
Ukipoteza unakuja hapa unaipongeza team iliyokupiga na ndiyo soka inavyosema

Kuja hapa kulaumu the right,the left and center inaonyesha ww sio mwanamichezao
 
Hivi chenga na pass ndo zachukua kombe au magoli kwenye score board?
Siku zote alieshindwa hakosi sababu ya kushindwa kwake
 
daaah nimekubali wakuu, tmecheza Sana show game lakini Good luck to Chelsea....Bahati ilikuwa hao..wamecheza kwa tactics nyingi mwishoni....

sasa ngoja nikatulizwe na mtoto, kesho niamke na amani
 
Kwa hiyo mimi kichaa siyo? Doh!

Sawa basi..

Sijakuambia wewe ni kichaa Mkuu lkn nakushangaa unavyokomaa kuponda mfumo Wa kujilinda Na wakati ktk soccer kuna mbinu kibao ambazo kila timu iko huru kuapply? We kubali umefungwa tu kwani utazurika nini?
 
Tuhakikishe top 3 ni yetu. Champions league tukafanye mambo
 
Nguvu ya soda naona imeishia darajani. Angalieni mechi ijayo msijepoteza points nyingine. Poleni sana.
 
You could have done the same sir...ama??!

Mentor
United!!
Seriously????
That a shame sir...
*****
Chelsea were a lucky team but PLAYED NOTHING. however congratulations for 3points.
✌🏿️
 
Last edited by a moderator:
Mpira ni magoli,kama mlicheza vizuri tuliwafungaje,basi mgeshinda.
 
Mentor
United!!
Seriously????
That a shame sir...
*****
Chelsea were a lucky team but PLAYED NOTHING. however congratulations for 3points.
✌️
watu wafunge goli dk ya 38 halafu wailinde na mmeshindwa kuirudisha halafu eti lucky team,basi mgerudisha goli acheni kutapatapa
 
Eti anasema football is 'strategically'! Huyu Maureen nimeshasema sana kuwa siyo kocha, ni mjanjamjanja tu!

Ana maanisha kupaki basi lake. Jamaa haoni aibu wala nini. Umemsikia anasema hajali watu watakavyosema juu ya ushindi huu? Lol. Ila jana nimesoma sehemu anapiga ndogo ndogo za kuaishiria anaitaka kazi ya LVG.
 
Man utd fans are moaning as if wangeshinda game ya leo!

We all know Mou linapokuja suala la big games!

Mou kishaharibu utaratibu, angalieni jinsi mtakavyorekebisha dhidi ya Everton ili kuepuka turn and twists zisizokuwa na Msingi!

Mou ni lazma angewaacha mmiliki mpira, alifanya hivyo kwa LFC pia, na huwa anafanya hivyo akikutana na team ambazo zipo on form kwa wakat huo, hii hii mbinu anaweza kuitumia kuleta maafa pale Emirates!
 
Kwa 18th century football rentboys waliyocheza (30% possession at home &#128563😉 ni vigumu kuvunja hilo basi. Kama umeangalia post-match interview ya Maureen kaonyesha kabisa nia yake ilikuwa ni kupata points 3 tu.

Nakumbuka alivyocheza na West Ham (walivyopaki basi) alilalamika sana na kusema W. Ham walicheza 18th century football. Na kuponda sana mfumo huo. Leo kala matapishi yake!!

Hahaha angalia unavyojichanganya...inaonesha unalalamika tu kwa kufungwa ila naenda na wewe mpaka utakapoenda kulala.

1. Siku hizi possession ndo zinatoa points? Niambie mechi ngapi arsenal (mabingwa wa possession) wamefungwa ilhali walikuwa na possession kubwa? Football is all about tactic. Mou alijua hilo ndo maana akapanga kikosi chake vile.

Alijua hamji kucheza beautiful football ila kupeleka mipira kwa fellaini akamweka Zouma. Akajua rooney atakuwa kati akambakiza Matic. Wengine wote hawakuwa tishio na hakuna mchezaji wenu aliyeonesha tishio lolote kwa consecutive minutes hata mmoja.

Angalia stats zimeekwa dailymail uone possession yenu kuwa imechukuliwa na kina Smalling (mabeki) labda kiasi na rooney. Pundits wenyewe wamekubali hamjacheza tactical game mmeenda kwa ku kremu ilhali kila mtu alijua jinsi mou atacheza. Kwa nini hamkuwaweka mata na maria waanze. Doing thr same thing expecting different results???!

2. Hapo kwa mou kula matapishi yake ndo nn umeongea sasa...we jamaa kalale tu. Angekuwa ye ndo kapakiwa basi leo akalalamika ndo ungesema amekula matapishi labda ungesema leo mou katapika tena..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeee

Na ngoja niwashe desktop kesho mtaliaaaa mi siondoki hapa mpaka jumatatu ndo nahamia arsenal.
Cc: Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
View attachment 244631

Stats don't lie chief...

Stats lie big time sir na wewe unajua hilo.

Au tuseme they dont lie:

15 shots on goal....ONLY 2 on target. Jiulize hiyo possession ilikuwa inaenda wapi kama sio back passes za Mata..wacheni kulalalmika.

Drink dat bitter cup u cant beat us..kalaghabaho.
 
Back
Top Bottom