Hahahaaa daah eti Hiyo ndo Master Plan yao..!!
Title contenders (Watanisamehe siwezi iita Chelsea a big team) kwa kucheza Under Dogs for 95 minutes while parking the bus.... if with that performance deserves the championship, no wonder English football is shite both in Europe and Internationally..
Yaani unacheza nyumbani kwa 30% possession?!? Hivi washabiki wa rentboys uwa mnashangilia?!?
Kwa 18th century football rentboys waliyocheza (30% possession at home 😳😉 ni vigumu kuvunja hilo basi. Kama umeangalia post-match interview ya Maureen kaonyesha kabisa nia yake ilikuwa ni kupata points 3 tu.
Nakumbuka alivyocheza na West Ham (walivyopaki basi) alilalamika sana na kusema W. Ham walicheza 18th century football. Na kuponda sana mfumo huo. Leo kala matapishi yake!!
Game ya leo imeniuma sana.
Chelsea hakustahili kabisa kushinda hii mechi bas tu.
Game ya leo imeniuma sana.
Chelsea hakustahili kabisa kushinda hii mechi bas tu.
We sijui umekunywa viroba..kiufundi na kimbinu ni tofauti? Mbinu ndio zinazaa ufundi kama hujui
Safari hii tutawakabidhi goli 3. Sanchez, Giroud, Ozil watatupia magoli huku DDG akilia na mabeki wake Scholes akigeuka bubu, the Neville brother watakuwa vipofu.
wenzio walisena hivyo hivyo siku mbili zilizopita,sasa washaanza oooh wanapaki basi,wengine tumefungwa na refa wengine carrick hakuwepo...anda na wewe sababu zako mapema...
Tutalipaki basi tena siyo ehhh?? Sawa.....
Stats lie big time sir na wewe unajua hilo.
Au tuseme they dont lie:
15 shots on goal....ONLY 2 on target. Jiulize hiyo possession ilikuwa inaenda wapi kama sio back passes za Mata..wacheni kulalalmika.
Drink dat bitter cup u cant beat us..kalaghabaho.
Asante mtani tumeshapoa
Hatufiki mbali wapi? Jose ni defensive kocha hilo liko wazi. Unategemea kucheza mbinu gani wakati timu nzima mmebaki kwenye half yenu, leo hadi Oscar alikuwa defensive midfielder. Tumewafunga Man City, Arsenal, Liverpool, Spurs, Southampton
Nilikuwa naangalia mechi yetu kwa muda mrefu. Hata hivyo naomba kuuliza.. grafani11 mbona sikusikii unaongelea kikosi kilichopangwa leo?Young, Mata na Fellaini waliwekwa kapuni. Ile mipira ya kulengesha kichwani kwa Fellaini ilipigwa au?
Timu imecheza vizuri, Jose kama kawaida yake akishapaki basi huwezi fanya lolote,I hope Carrick au Blind atarudi next game ili Rooney arudi kucheza striker