Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
Wanadai ni Master class. Mourinho ni mviziaji tu, anapaki basi halafu anasubiri timu nyingine zifanye makosa. Anyway, kuna siku bahati zinakimbia kama vs PSG. Jumapili ijayo atacheza hivi hivi 3 defenders 2 defensive Midfielders, then atasubiri Arsenal wafanye makosa yao(cannot blame Chelsea tukifanya makosa) kama ilivyo kawaida ya Arsenal vs Chelsea OR Arsenal vs Manchester United.
Nakuhakikishia mkuu game ya arsenal haitachezwa hivi kama ya man u, kwa kudefend na kuvizia