Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ander alijiangusha pale chifu...ref alikuwa sahihi kabisa..

Siangalii hata review ya game ila nlivyoona mm that was a penalty, sio kesi J2 safari nyingine kwao Everton
 
Ntuzu na familia yote ya darajani hongereni...Salutw kwa Hazard

Nikiangalia nyuso za wachezaji wenu after the final whistle ni kama hawakutarajia matokeo haya

Pamoja na kufungwa, so proud of the boys wamepiga kandanda safi

#NoHardFeelings
 
Last edited by a moderator:
Dah LVG kaamua kuuza mechi kabisa Blacket sio mchezaji wa kuingia kabisa
Hapo ndio alipokosea aaaseh Blacket alikuwa mzito balaa hata Di maria nae alikuwa anazingua tu upande ule mashambulizi yalipungua kbisa kwa hizi sub Lvg amezingua
 
Ntuzu hongera yenu
Ingawa style yenu aaaseh ni komesha Mourinho anataka record ya makombe tu na sio perfomance ya timu na ladha mbalimbali
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa Rentboys kupata points 3...ila wamecheza 18th Century football kwa kupaki basi tu dakika zote...

Hahahaaa daah eti Hiyo ndo Master Plan yao..!!
Title contenders (Watanisamehe siwezi iita Chelsea a big team) kwa kucheza Under Dogs for 95 minutes while parking the bus.... if with that performance deserves the championship, no wonder English football is shite both in Europe and Internationally..
 
Poleni sn wakuu mmepapambana sn lkn bingwa Wa mbinu amedhihirisha uwezo wake....

Hakuna tambo tena kwenu...... Tunaamia kwao Arsenal tufunge biashara....

Cc: everlenk RRONDO Nzi kitwala Na ManU fans woooooote...

Pamoja sn wakuu.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sn wakuu mmepapambana sn lkn bingwa Wa mbinu amedhihirisha uwezo wake....

Hakuna tambo tena kwenu...... Tunaamia kwao Arsenal tufunge biashara....

Cc: everlenk RRONDO Nzi kitwala Na ManU fans woooooote...

Pamoja sn wakuu.

Bingwa wa mbinu zisizo za kisoka 😂
 
Last edited by a moderator:
Mourinho kama kawaida yake anabahatisha. Ilitakiwa iwe Draw. Atafanya hivi hivi vs Arsenal wikiendi ijayo

Eti anasema football is 'strategically'! Huyu Maureen nimeshasema sana kuwa siyo kocha, ni mjanjamjanja tu!
 
Hakuna jipya hapa, hongereni chelsea kwa kubebwa na goli la refarii.

Kubebwa??? Man tafuta kisingizio kingine aisee..leo tumebebwa na nani??? Khe khe kh kheeeeeeee

Hivi washabiki wa Chelsea wapo proud na this kind of performance kutoka kwa timu yao???
Poor Chelsea😏
#Red &Proud

Proud and loving our team...there are moments for everything sir. Kama ni class kila shabiki wa chelsea anajua we have. Leo tulitaka tu kuwapa funzo.

Btw LVG tangu jumapili iliyopita alijua kikosi cha chelsea kitakachocheza leo..unadhani angeshindwa kujipanga kwa ajili ya hili au na yeye mbinu zilimuishia. Tafuta kisingizio kingine na wewe.

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeee
Cc: everlenk na BelindaJacob
 
Last edited by a moderator:
Wachezaji wa man u wamejitahidi sana haijalishi ni nini kimetokea......
 

Attachments

  • 1429382837112.jpg
    1429382837112.jpg
    10 KB · Views: 109
Back
Top Bottom