mamy hiyo raha waishushia na nini......maa mie hapa nina windhoek.....
Tunacheza watu 10 sasa dah
Kigeugeu? Msimu mzima nasema mtamaliza nyuma yetu.......Washukuruni Man City na Liverpool
Chelsea watashangaa sana mwisho wa siku tunakaa pale juu.
Bookmarked... msimu ujao mtarudi nje ya top 4 then mtamstaafisha LVG
mpira haujaisha ujue
Mfalme kampany imekuwaje. Naona Man U wanapumzisha vifaa wanaingiza vifaa. Ngoja nikaagize mvinyo mwekundu nisherehekee.