Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Sasa nani hapo Chelsea wa kumzuia Big Fella?
Fulaini amsumbue nani sasa kwetu?
Sasa nani hapo Chelsea wa kumzuia Big Fella?
Fulaini amsumbue nani sasa kwetu?
Mourinho hata akipaki Kifaru, sisi tutatumbuiza tuu si chini ya goli 3
Hahaa
Mmekua jeuri sn nyie
Hatukupaki bus tulipokuja OT tupaki bus darajani? Kwa squad ipi ya ManU hasa?
Hatukupaki bus tulipokuja OT tupaki bus darajani? Kwa squad ipi ya ManU hasa?
labda nikuulize nani wa kumzuia huyo jamaa?
Zouma aliingia kufanya nini kumbe?
Na Mimi nakuuliza hivi ana kitu gani special huyo Fulani mpk awekewe marking ya mtu Wa kumzuia?
Zouma aliingia kucheza! Kwani wewe unaona aliingia kusimama?
utamjua vizuri jumamosi, tusiandikie mate
hii hii ya kiboko ya vigogo
LFC nayo ni kiboko? Spurs? Na city iliyojifia? Njooni mjipime kwa kwa timu bora Chelsea chini ya kocha bora José Mourinho, LvG anamfahamu vzr sn huyu Happy One!

Mourinho ni kocha wa kawaida sana! Yaani afadhali hata Steve Bruce
Spurs alikunyoa ngapi vile?
Tumekutana na spurs Mara tatu ktk msimu huu.
Kwa EPL tuko sawa ktk kunyoana...au hapa hautoelewa mpk nikufafanulie?
Na Mara ya tatu nimemnyoa goli mbili na kombe nikabeba!