Naona mmeanza kua na jeuri
Hahahaaa watu mna maneno nyie!
Mrudisheni basi ktk hiyo mechi ili msije mkasingizia Chicharito hayupo!
Herrera (The new Scholes)
I'm in that mood where I genuinely think Man United can win the World Cup.
Mrudisheni basi ktk hiyo mechi ili msije mkasingizia Chicharito hayupo!
World cup?!!
Kiungo kisheti. Kiungo udambwidambwi
kama una Mpira afu hujui pa kuupeleka, Mpe Herrera anajua wapi atapoupeleka! Maestro
Na nyie mrudisheni Lampard msije mkasema mlizidiwa katikati na akina Herrera
Herrera amzidi nani? Huyo charie atapotea siku hiyo ata huyo Fulaini atapotea kabisa! Mtakua mnamuona Carrick anaanguka na kina Jones hivyo tu. Chezea Hazard wewe na Faby?
Unasema tumeanza wakati watu wanazeekea kwenye jeuri ya Glory. Muulize mtoto mwenye miaka 15 wakati anazaliwa aliwahi sikia kitu kinaitwa machinjio ya darajani, atakuuliza ndio nini hiyo.
Muulize Old Trafford ni nini atakwambia na mpaka leo inachinja tu.