everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Hongera, lkn darajan naomba ujipange sana sio rahisi kiivyo
Asante, hilo usijali next weekend siyo mbali.......
Hongera, lkn darajan naomba ujipange sana sio rahisi kiivyo
Tulikwenda OT na striker Drogba na akafunga goli zuri kabisa au umesahau?
Huwa wanafungwa na wazee wakumbushe hattrik ya etoo, na hizo beki zao zenye viuno vgumu visivyonyumbulika(Valencia) hazard ataleta shida
Ndoto zimeanza sasa, hakuna ambaye hakuona leo manu ikishinda! umeona rekodi ya mancity ya hivi karibuni? ni horrible. Mmecheza vizuri, ila ukweli ni kwamba timu zilizo juu yenu ni ziko bora zaidi, pia kuna machinjioni Selhurst park.
Hatuna maneno mengi sisi!! najua baada ya kipigo cha PSG daraja halina nguvu, JE SHETANI MWEKUNDU AKIPITA UNADHANI ITAKUAJE??jiandae kwa usiyo tarajia.Mkimaliza huu mchezo wenu sasa tutakaa na kuanza kupiga story.
Hatuna maneno mengi sisi!! najua baada ya kipigo cha PSG daraja halina nguvu, JE SHETANI MWEKUNDU AKIPITA UNADHANI ITAKUAJE??jiandae kwa usiyo tarajia.
hodiiiiii red devil kaja.....
View attachment 242739
Tulikwenda OT na striker Drogba na akafunga goli zuri kabisa au umesahau?
Ulianza kushabikia Spurs,uka hamia Liverpool, leo ulikuwa ulikuwa Man City. Tuambie umehama Arsenal?
Nataman kusikia two weeks out!!!
sio kila siku ni Ijumaa?
Ashley Young for Ball D'or.
Hahahaa ule upande Wa Valencia patakua patamu sn
teh teeh teh
Man City masikini walidhani Smalling atakula red tena.
Kumbe dogo keshaomba msamaha na kuahidi hataruhusu tena ujinga umtawale.
Subirini siku zikaribie alafu mumuulize LvG juu ya Chelsea atawambia. We u nafikiri Chelsea ni sawa na LFC au Man City?
Enzi zile chicharito anawafunga goli mapema kabisa kabla hamjajipanga.