mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,698
- 9,051
Angalia alichosema leo
[h=1]Former Arsenal star Paul Merson: Why Liverpool will BEAT Man Utd[/h] PAUL MERSON believes Liverpool's pace up front will cause too many problems for Manchester United's defence to cope with.
Huyu jamaa nikimuona kwenye TVyupo kama pundit wakati Man Utd wanacheza straight away ninabadilisha channel, jamaa hana kingine anachoongea zaidi ya kuikandia Man UTD
Hahahaha kumbe na nyie huwa mnamsoma hajwahi kitabiri man u itashinda ikiwa away