Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Damu ya jogoo haitoshi, ya mlango wa pili nadhani itafaa zaidi.
 
Attachments

  • 1427044499750.jpg
    1427044499750.jpg
    55.4 KB · Views: 1,034
kumbuka Liverpool hawatakuwa na SG,Lallana, possibly Skrtel.Hata hivyo mechi itakuwa ngumu lakini ngumu ikizingatiwa wamepoteza leo. But at the end 3 points zitabaki Emirates

Sisi kumaliza wa nne au wa tatu hamna tofauti,wafungeni tu hao liverpool!!!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
For the first time ever, Van Gaal has singled out a player with compliments... Juan Mata received the rare managerial praise, which even DDG has yet to receive when the manager commented him in his post-match interview,saying (while smiling, BTW):
" Juan Mata was very good. He played always good in my opinion with me so he's one of my most constantly playing players but sometimes you also need balance in your team and you have to select other players. Now he has played very well and did this position very well."
To that I say - Juan Mata matters. ‪#‎believe‬ ‪#‎GGMU‬ ‪#‎uniteddamu‬
11081103_351041938423616_7799579870554832322_n.jpg
 
Wanaacha kuangalia reality wanaanza kulialia na refs?!! SG hii no game yake ya mwisho,he was too emotional,he wanted it too bad! Kila mwenye kujua historian anajua lazima angekuja kucheza very aggressive bahati mbaya kaja na hasira na ref was prepared!

Liverpool fans should check the facts,they were given a masterclass for first 30mins at their own ground! Zero shots on target,couldn't find the ball!

All of sudden NO ONE IS SAFE!!! Next Please!

Tottenham down,
Liverpool down,

Neeeeeeeeeext.....
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
kumbuka Liverpool hawatakuwa na SG,Lallana, possibly Skrtel.Hata hivyo mechi itakuwa ngumu lakini ngumu ikizingatiwa wamepoteza leo. But at the end 3 points zitabaki Emirates

Huyu ndio anailetea nuksi Liverpool siku hizi,walicheza game nyingi bila yeye wakafanya vizuri tangu amerudi wameanza kuyumba.Kwa sasa Liverpool wanakuwa bora zaidi SG asipocheza
 
kumbuka Liverpool hawatakuwa na SG,Lallana, possibly Skrtel.Hata hivyo mechi itakuwa ngumu lakini ngumu ikizingatiwa wamepoteza leo. But at the end 3 points zitabaki Emirates

Vyovyote itakavyokuwa sawa tuu ila ikitokea ikawa ni matokeo mazuri kwa Utd itakuwa poa kwetu

Ninategemea tutakuwepo wote pamoja siku hiyo kuona nini kinachoendelea
 
Ha Ha Ha kama sikosei kuna kitu aliahidi kama Man utd atapata point Anfield

Sasa hivi timu yeyote kucheza na Utd ni kumtafutia matatizo kocha na wachezaji wao

mkuu hata sie man u,beki bado haijakaa sawa,tushukuru tuna kipa anaesaidia kuokoa hatari nying sana.
 
Ha Ha Ha kama sikosei kuna kitu aliahidi kama Man utd atapata point Anfield

Sasa hivi timu yeyote kucheza na Utd ni kumtafutia matatizo kocha na wachezaji wao
Kama ni weekend nitakuwepo unless nialikwe kwa mama mdogo
 
Ha Ha Ha kama sikosei kuna kitu aliahidi kama Man utd atapata point Anfield

Sasa hivi timu yeyote kucheza na Utd ni kumtafutia matatizo kocha na wachezaji wao
Malafyale alisema hata tukipata draw atajipiga ban! Baada ya kumpa kichapo Spurs akasema atajifikiria nini afanye tukitoka hii game! Yupo kwao huko analialia tu hata hajulikani shida yake mini!
 
Last edited by a moderator:
mkuu hata sie man u,beki bado haijakaa sawa,tushukuru tuna kipa anaesaidia kuokoa hatari nying sana.

Unachosema inawezekana ni sawa ila unajua ni Chelsea tuu ambaye amefungwa magoli macheche kuliko sisi

Man Utd wamefungwa magoli 27 Chelsea 25, hizo timu zingine zimefungwa magoli mengi kuliko sisi

Kuhusu De Gea katika mechi mbili za mwisho {Against Spurs na leo Liver} Spurs walipata shot on target 1 dakika ya mwisho wa mchezo na leo Liver walipata shot on target moja tuu tena kwao... kwahiyo bado beki yetu ni mbovu?
 
Mkuu hizi kauli za kuwa beki yetu mbovu ilhali its the second or third meanest take them as compliments,what if it was at its best?! Kitu kingine,man utd inasemekana ni mbovu wakati tupo two points behind second place! Ina maana tungekuwa kama tunavyokuwa sasa hivi tungekuwa 10pts clear at the top!
 
Back
Top Bottom