DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,542
- 2,741
Angempa tu Mata acheze, yeye kama team captain ana maamuzi ya kum assign mtu yeyote kufanya jambo flan ndan ya uwanja. Mata tayari alikuwa na goli 2 angepata hiyo chance angepiga hat trick kitu ambacho kingeongeza kitu flan kwake.
Yeah mimi binafsi ningependa kuona Mata anapata nafasi ya kufunga hat trick ndani ya Anfield ila ndio hivyo kila kit kina muongozo wake