Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,536
- 4,532
Tottenham down,
Liverpool down,
Neeeeeeeeeext.....
Yes! katika mfululizo wa game ngumu, mbili zimekamilika kwa kishindo.
Tottenham down,
Liverpool down,
Neeeeeeeeeext.....
Mkuu hizi kauli za kuwa beki yetu mbovu ilhali its the second or third meanest take them as compliments,what if it was at its best?! Kitu kingine,man utd inasemekana ni mbovu wakati tupo two points behind second place! Ina maana tungekuwa kama tunavyokuwa sasa hivi tungekuwa 10pts clear at the top!
Timu yetu mbovu iko hivi je ingekuwa ni nzima sijui ingekuwaje
Kuna hawa pundits kwenye TV halafu wengi wao ni ex gunners and liverpool players always wanaongea vibaya kuhusu Utd .. ohh hawawezi kumaliza kwenye top four ... ohh walisema mpaka Southampton watamaliza juu ya Utd ila soon tutaanza kuheshimiana kama bado hawajaanza kutuheshimu
Unachosema inawezekana ni sawa ila unajua ni Chelsea tuu ambaye amefungwa magoli macheche kuliko sisi
Man Utd wamefungwa magoli 27 Chelsea 25, hizo timu zingine zimefungwa magoli mengi kuliko sisi
Kuhusu De Gea katika mechi mbili za mwisho {Against Spurs na leo Liver} Spurs walipata shot on target 1 dakika ya mwisho wa mchezo na leo Liver walipata shot on target moja tuu tena kwao... kwahiyo bado beki yetu ni mbovu?
Kile kitendo cha Rooney kung'ang'ania kupiga penalt badala ya kumpa Mata amalizie hat-trick yake😡
Kuna huyu mlevi Paul Merson kila siku anatabiri man utd anafungwa au draw! Yaani ni juha hajifunzi tu! Recently alitabiri Newcastle tunapata draw,totenham tunafungwa na hii ya leo alitabiri tunafungwa 3-0!!!! Na Sky Sports wanamlipa kwa utabiri wake huh!
Point of correction,Southampton wamefungwa goli 21 tu, ndio wanaoongoza kufungwa goli chache zaidi
Kile kitendo cha Rooney kung'ang'ania kupiga penalt badala ya kumpa Mata amalizie hat-trick yake😡
Wayne hakung'ang'ania kupiga penati hiyo ... kila timu ina penalty taker wao na kwa Man Utd mtu huyo ni Rooney
Unakumbuka Balotelli alipong'ang'ania kupiga penati sikumbuki na against timu gani kwenye europa, unakumbuka Gerald alisemaje?
Angalia alichosema leo
[h=1]Former Arsenal star Paul Merson: Why Liverpool will BEAT Man Utd[/h] PAUL MERSON believes Liverpool's pace up front will cause too many problems for Manchester United's defence to cope with.
Huyu jamaa nikimuona kwenye TVyupo kama pundit wakati Man Utd wanacheza straight away ninabadilisha channel, jamaa hana kingine anachoongea zaidi ya kuikandia Man UTD
Kuna huyu mlevi Paul Merson kila siku anatabiri man utd anafungwa au draw! Yaani ni juha hajifunzi tu! Recently alitabiri Newcastle tunapata draw,totenham tunafungwa na hii ya leo alitabiri tunafungwa 3-0!!!! Na Sky Sports wanamlipa kwa utabiri wake huh!
Kwa kweli Paul Merson huwa anakosea predictions (Sio za United tu)nyingi kuliko Mark Lawrenson wa BBC
Beki yenu imeimprove baada ya Smalling kuacha Kufanya mauzauza kama mwanzoni.
Yetu 31, nyie 27. Tumefunga 58 nyie 52Hivi beki yenu na yetu ipi imeruhusu magoli mengi?!