All the best ManU wapigeni hao Loserfool wapotee kabisa.....
1 Swali: Kwa nini ununue nguo ya mbei mbaya halafu usiivae?
2 Swali: Kwa nini uazime kifaa cha ujenzi halafu usikitumie ipasavyo?
FT: Liverpool 2-2 Manchester United
2 Red cards 1 each for both teams.
Linapokuja swala la upenzi na ushabiki wa mpira huwa sipendi unafiki wa kuificha rangi yangu hata kidogo. Leo Man U wanafungwa na Real Madrid wanafungwa...mark my words.
Linapokuja swala la upenzi na ushabiki wa mpira huwa sipendi unafiki wa kuificha rangi yangu hata kidogo. Leo Man U wanafungwa na Real Madrid wanafungwa...mark my words.