mkuu with due respect ( Ushabiki pembeni) Liverpool sio timu ndogo, mpaka sasa bado hatujaweza kuvunja record yao ulaya!
Hahahaha Enzi za jambochat wewe na Pazi mmeshakosa pesa kwa kutofuatilia predictions zangu.
1 Swali: Kwa nini ununue nguo ya mbei mbaya halafu usiivae?
2 Swali: Kwa nini uazime kifaa cha ujenzi halafu usikitumie ipasavyo?
FT: Liverpool 2-2 Manchester United
2 Red cards 1 each for both teams.
SG gave you a game
Hongereni sana anyway
Before SG came on it was
1-0
Possession 60%-40%
Shots on target 2-0
Passes 295-200
Pass accuracy 80%-less etc!
BTW vipi ile ban ushajipiga?!!
Wewe na wenzio niliwaambia hio run yenu hamjakutana na kashkash Kama za man utd,we give most teams different problems that haven't faced all season! Mlifikiri mnakuja kuokota point tatu?! SG nilijua tu anakuja kucheza rafu alivyotolewa wala sikushangaa! Five points clear now!
Mbona unapenda kuwadanganya ambao hawakuwepo muda huo, wakafikilia wewe ni mtabiri mzuri
Hebu angalia ulichosema hapa
Hivi watu wangekusikiliza si inamaana kesho wangelala na njaa lol
Next game ni muhimu kuwatandika Aston Villa, kwa matokeo yoyote kati ya Arsenal na Livefool ni mazuri kwetu ila mimi nawaombea draw tu itakuwa powa zaidi
Liverpool mara ya mwisho kufungwa kwenye ligi ilikuwa december mwaka jana
Liverpool walikuwa hawajafungwa katika ligi tangia hiyo december ... mechi 14 bila ya kufungwa
Unajua nani aliwafunga mara ya mwisho hiyo december???? Sio mwingine ni timu Kubwa kuliko zote nchini Uingereza The Mighty Man Utd
Unajua baada ya kucheza mechi 14 mfululizo bila ya kufungwa, nani amekuja kuvunja hiyo rekodi??? sio mwingine zaidi ya Timu Kubwa Man Utd
Fact: Msimu huu liverpool wameichangia Man Utd points 6 : yaani maana yake Liverpool kafungwa nyumbani na ugenini msimu huu
Fact: Msimu huu Man Utd kachukua points 6 kirahisi kabisa bila ya upinzani kutoka kwa timu ndogo Liverpool
Alipaswa kutoka Rooney na siyo Herrera kwasababu Rooney hakuwa vizuri leo.
Yote tisa kumi ni point 3.
Spot on...kuna wengine wanasema United imebebwa na refa, eti kwa sababu Jones na Rooney walistahili kadi nyekundu pia!!
Watu wapo bitter kupita kiasi....hawakutarajia haya, walifikiri vichwani mwao kwamba itakuwa game rahisi kwa Loserfool!
Arsenal vs Liverpool matokeo mazuri kwetu ni kama Liver ataweza kupata angalau point moja
Ila kwa sababu mara nyingi Man Utd haitegemei timu nyingine iifanyie kazi yenyewe... hao Gooner watakuja Old Traford tutamaliza kazi hiyo