Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[18:45, 3/22/2015] Rutashubanyuma: Pos Team P GD Pts Form
1 Chelsea 28 35 64
Won against Aston Villa Won against Everton Drew with Burnley Won against West Ham Drew with Southampton
2 Man City 30 34 61
Won against Newcastle Lost to Liverpool Won against Leicester Lost to Burnley Won against West Brom
3 Arsenal 30 27 60
Won against C Palace Won against Everton Won against QPR Won against West Ham Won against Newcastle
4 Man Utd 30 25 59
Lost to Swansea Won against Sunderland Won against Newcastle Won against Spurs Won against Liverpool
Premier League
View full Premier League table
[18:45, 3/22/2015] Rutashubanyuma: 👆

No slip ups!
 
Liverpool mara ya mwisho kufungwa kwenye ligi ilikuwa december mwaka jana

Liverpool walikuwa hawajafungwa katika ligi tangia hiyo december ... mechi 14 bila ya kufungwa

Unajua nani aliwafunga mara ya mwisho hiyo december???? Sio mwingine ni timu Kubwa kuliko zote nchini Uingereza The Mighty Man Utd

Unajua baada ya kucheza mechi 14 mfululizo bila ya kufungwa, nani amekuja kuvunja hiyo rekodi??? sio mwingine zaidi ya Timu Kubwa Man Utd

Fact: Msimu huu liverpool wameichangia Man Utd points 6 : yaani maana yake Liverpool kafungwa nyumbani na ugenini msimu huu

Fact: Msimu huu Man Utd kachukua points 6 kirahisi kabisa bila ya upinzani kutoka kwa timu ndogo Liverpool
 
rubaman

Sasa una maoni gani kuhusu mbio za kumaliza kwenye top four

Na pia kuhusu kwenye kumaliza nafasi za kucheza Europa league {angalia aliyepo nafasi ya 5 kapishana point 1 tuu na aliyepo wa 7}
 
Last edited by a moderator:
Naona LVG sasa ameshapata timu yake hii ilikuwa game ya kushinda goli 4 kocha alilazimika kumtoa Herrera baada ya kupata yellow card otherwise angemtoa Fellaini Rooney arudi kati,ushindi wa leo kwangu ndio ushindi mtamu msimu huu.Loserfool walikuwa wanapiga sana kelele

Alipaswa kutoka Rooney na siyo Herrera kwasababu Rooney hakuwa vizuri leo.

Yote tisa kumi ni point 3.
 
Herrera alishapata yellow kadi na jinsi game ilivyokuwa na tension angeweza kupata red card.Wachezaji ambao LVG hawezi kuwaweka benchi ni Rooney na RVP
 
Man oyeee japo sijaangalia live ila nilikuwa buzz kwa net kufatilia matokeo.
 
rubaman

Sasa una maoni gani kuhusu mbio za kumaliza kwenye top four

Na pia kuhusu kwenye kumaliza nafasi za kucheza Europa league {angalia aliyepo nafasi ya 5 kapishana point 1 tuu na aliyepo wa 7}

Watakaomaliza top 4 wanaweza kujulikana mechi zijazo (April 4th & 5th wkend) endapo tutamfunga Liverpool. Patakuwa na kinyang'anyiro hadi mwisho wa ligi kwa wataopata nafasi za kwenda Europa League kama itakavyokuwa kwa nafasi ya pili, tatu na nne. City, Arsenal, United yeyote anaweza kumaliza katika nafasi hizo. Kwa maoni yangu(kiunazi) tutamaliza wa pili, City then United
 
Liverpool mara ya mwisho kufungwa kwenye ligi ilikuwa december mwaka jana

Liverpool walikuwa hawajafungwa katika ligi tangia hiyo december ... mechi 14 bila ya kufungwa

Unajua nani aliwafunga mara ya mwisho hiyo december???? Sio mwingine ni timu Kubwa kuliko zote nchini Uingereza The Mighty Man Utd

Unajua baada ya kucheza mechi 14 mfululizo bila ya kufungwa, nani amekuja kuvunja hiyo rekodi??? sio mwingine zaidi ya Timu Kubwa Man Utd

Fact: Msimu huu liverpool wameichangia Man Utd points 6 : yaani maana yake Liverpool kafungwa nyumbani na ugenini msimu huu

Fact: Msimu huu Man Utd kachukua points 6 kirahisi kabisa bila ya upinzani kutoka kwa timu ndogo Liverpool

mkuu hata arsenal walipokuwa hawafungiki (Invicible) ni manchester united ndio waliovunja ile season long unbeaten record!
 
Watakaomaliza top 4 wanaweza kujulikana mechi zijazo (April 4th & 5th wkend) endapo tutamfunga Liverpool. Patakuwa na kinyang'anyiro hadi mwisho wa ligi kwa wataopata nafasi za kwenda Europa League kama itakavyokuwa kwa nafasi ya pili, tatu na nne. City, Arsenal, United yeyote anaweza kumaliza katika nafasi hizo. Kwa maoni yangu(kiunazi) tutamaliza wa pili, City then United
Pazi alisema ukimsikiliza rubaman hutakula hela za bookies lol

Ninahisi Man City atamaliza sio nafasi ya pili
 
Last edited by a moderator:
Asante man u. mimi nimwana chelsea nawashukuru munataka kunipatia escrow yakutosha.
 
Pamoja na rekodi mbaya away...ila away supporters wamekuwa hawaiangushi timu msimu huu..

CAtxwxEU0AAniQ1.jpg
 
Back
Top Bottom