Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1426441823.410385.jpg
 
People are forgetting that now United is just 2 points behind Shitty, and 8 behind Rentboys...
 
86 min: Final change for United, Rafael coming on for Carrick. Van Gaal has taken off this three best players today.

Share
8m ago17:45
84 min: Priority for United now seems to be keeping a clean sheet. United are forced to defend a succession of corners and crosses, with Wayne Rooney twice heading clear. Whilst they haven’t set the world on fire this second half, you have to applaud United’s game management, they’ve seen it through well.
 
Full-time: Manchester United 3-0 Tottenham Hotspur

All the work was done in the first half.
 
Malafyale

Njoo uje kusahihisha post yako hapa plz

Man City hastahili kuwa wa pili!Kesho zinabaki points 4 tu kumfikia

Kumbuka leo Man U hawezi pata maximum point so nitakuwa nae sawa au nitampita na akija kwangu week ijayo hata LVG anajua anapoteza

Nilikuambia lakini nini kitachotokea leo... bado point zetu tatu za kirahisi week ijayo

Kwenye Blue: bado kama saa 1 mpira uanze : baada ya dakika 90 naomba uje kufuta comment yako hii

Kwenye nyekundu : Si unakumbuka tulichowafanya mechi ya kwanza? ndicho tutakachokifanya tena Anfield
 
Last edited by a moderator:
FT
[TABLE="class: soccer"]
[TR="class: stage-live"]
[TD="class: cell_ab team-home, align: center"]
Bordeaux​
[/TD]
[TD="class: cell_sa score bold playing, align: center"]3 - 2[/TD]
[TD="class: cell_ac team-away, align: center"]
Paris SG​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Malafyale

Njoo uje kusahihisha post yako hapa plz



Nilikuambia lakini nini kitachotokea leo... bado point zetu tatu za kirahisi week ijayo

Loserpool hata kuwafikiria huwa siwafikirii, mechi niliyodhani ingekuwa ngumu ni hii ya leo tu. Loserpool, arsenal ngazi yetu kufikia malengo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom