grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Nafasi ya pili haina ubishi.
Man city ameshalegea, hata bunley timu inashuka daraja inajipigia, je kikosi kama cha leo itakuaje.
Nafasi ya pili haina ubishi.
Dah Smalling kamficha kabisa Harry Kane
Week ijayo atawaficha Baloteli na Sturridge
Labda nafasi ya 2 toka mwisho!Anfield nakubamiza kama mtoto
Smalling ni CB mzuri akicheza na Rojo/Jones. Ila akikaa na Evans, ni balaa, anaboronga mbaya..
Labda nafasi ya 2 toka mwisho!Anfield nakubamiza kama mtoto
Wewe unakaribia kuokota makopo tu.
Evans anamfanya Smalling kuwa bize muda wote kufidia makosa ya Evans.
Kimoyomoyo......kuna watu wakatili wa mioyo yao.....Nani kakwambia nashabikia Manure!