Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

rubaman

Sasa hivi tuna tilia mkazo mechi moja baada ya nyingine .... next Anfield

Ila si nyie mliokuwa mnasema msimu huu tutarudi nafasi yetu ya saba ?
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna timu kat ya asenane, rentboys, na liva fools ina kibur against totnahm kias hiki msimu huu waseme

Appearance :2
Total points: 6
Man u won: 4 points
Totnahm won: 1 point
Number of cleansheets
Man: 2.
Haya mwenye jeur kama hii aseme.
KAAAAAAAAANEEEEEE!!!!!
 
rubaman

Sasa hivi tuna tilia mkazo mechi moja baada ya nyingine .... next Anfield

Ila si nyie mliokuwa mnasema msimu huu tutarudi nafasi yetu ya saba ?

Mechi zimebaki za kutosha kuwarudisha nafasi ya 7. Ila inaelekea mwaka huu mkajikongoja mkaishia katika nafasi za Europa League. Liverpool watawa-ovateki mechi chache zijazo.Bado naamini hivi.
 
Mechi zimebaki za kutosha kuwarudisha nafasi ya 7. Ila inaelekea mwaka huu mkajikongoja mkaishia katika nafasi za Europa League. Liverpool watawa-ovateki mechi chache zijazo.Bado naamini hivi.

Ha Ha Ha siamini ninachokisoma siku hizi kutoka kwako
Malafyale amefanikiwa ku-ku brainwashed, siku hizi unaitetea Liverpool kuliko unavyoipigania timu yako

Mimi ninachojua mechi ijayo tunashinda, baada ya hapo tutaanza kuiwazia mechi inayofuata
Pazi mna mshabiki mwingine kwenye timu yenu
 
Hahaha hakuna mtu aliyebrainiwashiwa hapa kama Nzi alivyotendwa na Moyes mwaka jana. Liverpool watawa ovateki kama wewe na Nzi mnataka kupanda kidau njooni $100 itatumwa katika foundation yoyote ya choice yenu.
Pazi amepotea kinoma atakuwa anazivuta toka kwa bookies kila wikiendi, timu yao inakuja moto kama treni la kijapan
 
Mkuu so ulisema tukitoka hii game upigwe ban?! Sasa unasibiri mini humu?! Naomba uwe brave muombe Invisible akupumzishe

Hapana mkuu
Ni game ya Anfield ambayo hata sare mkipata bado NITAJIPIMA mwenyewe kama ninapaswa kubaki hapa au la
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom