Atapoteza bet mojawapo.Navyomjua huyu jamaa yakimzidiaga huwa anabadili topics juu kwa juu.Saints wakitumia chances vizuri wanaweza kushinda.Ila naona pumzi yao inakwisha jinsi dakika zinavyokimbia.Kwenye Red : Kwani hata wewe una ndoto hizo? mbona safari yenu ilishaishia Emirates... Ufaransa mnakwenda kukamilisha ratiba tuu
Kwenye Blue : Liver hana ujanja wa kumaliza juu ya Utd ... halafu nafikili bet hii ilikuwa ni $100 kila mtu
Itabidi Mods waanze kuzishughulikia hizi bets
Kwa kweli sielewi kwanini LvG hampangi Rafael!!!!
Atapoteza bet mojawapo.Navyomjua huyu jamaa yakimzidiaga huwa anabadili topics juu kwa juu.Saints wakitumia chances vizuri wanaweza kushinda.Ila naona pumzi yao inakwisha jinsi dakika zinavyokimbia.
Hata mimi sielewi kwanini?
Mwishoni ataondoka.... kama sijakosea nimesikia sehemu dogo ameanza kulalamika
Southampton wakomaa kwenye dakika 10 hizi za mwisho
Hata draw kwao itakuwa poa tuu
Leo LVG asipomchezesha Falcao nitajua kuna tatizo kati yao
Rafael,Mata,Januzaj,De Gea,Evans future yao hailewiki msimu ujao wanaweza wasiwepo
Nimeipenda line up ya leo.
Leta ushahidi wa hii bet....sikubet kwenye hilo game
Sikumbuki kubet hili pia...leta ushahidi....
Hii hata kesho nitasema na kubet tena...siyo msimu huu tu, hata msimu wa mwaka kesho nitabet tena...
Hili nalo nitasema hata kesho....na niliweka bet ya US$ 100 na Janjaweed
Kuwapoteza Rafael, Mata na De Gea itakuwa ni bongo la kosa, ila ninahisi wataendelea kuwepo msimu ujao
Huu mpira wa Chelsea hauishi tuu?
De Gea lazima awachomoke tu...Real Madrid wanamtolea macho kinoma kama mrithi wa Casilas.