Arsenal hatupi wasiwasi katika mechi zote zilizobaki....ushindi wenu wa juzi siyo kigezo cha kufanya uanze kujitutumua mbele ya United....
Arsenal ni tawi letu la kudumu,perfomance yetu na Chelsea,Liverpool,Arsenal,ManCity ni nzuri
Haya bana ngoja chichi wengine tusepe twenzetu Indian Wells kumwona Rafa ... .... ....
J3 muda kama huu mlikuwa mnasema na kuamini hivi hivi baada ya masaa machache mkakimbilia uvunguni mwa vitanda.