Afadhali niwe banyamulenge kuliko kuwa Man United fan.Nafasi ya 2 ni yetu nyie mpo mpo. Ebana unaangalia jinsi Southampton wanavyowatoa kamasi Chelsea so far ?Hahaha we jamaa kiboko
Ila ninajua kimoyomoyo unapenda sana kuwa Man Utd Fan
Afadhali niwe banyamulenge kuliko kuwa Man United fan.Nafasi ya 2 ni yetu nyie mpo mpo. Ebana unaangalia jinsi Southampton wanavyowatoa kamasi Chelsea so far ?
Kikosi kizuri kupata draw
Starting XI:
DDG (GK)
Rafael (RB)
Blind (LB)
Smalling (CB)
Rojo (CB)
Herrera (CM)
Antonio (RW)
Mata (AM)
Falcao (CF)
Rooney (SS)
Januzaj (LW)
Subs:
Young
Fellaini
Carrick
Jones
Valdes
Wa pili Liverpool,wa 3 Arsenal na wa 4 mtagombea Man City vs Man U
Yeah naangalia wachovu wa darajani wanavyokimbzwa na Southampton
Man City soon atakuwa wa tatu, kati yenu au sisi tutampita
Sio timu ya Malafyale
Mkubwa leo ulikuwa unakunywa kinywaji gani?
Maan ukiwa upo sober kichwani huwezi kusema Liverpool watamaliza wapili
Kumbuka kuna bet umeweka na Nzi timu gani itamaliza juu ya mwenzake
Hivi bet hii inawahusisha Liverpool na Man United tu? Nzi ana bets kibao humu asije akajisahaulisha jinsi muda unavyokimbiaMkubwa leo ulikuwa unakunywa kinywaji gani?
Maan ukiwa upo sober kichwani huwezi kusema Liverpool watamaliza wapili
Kumbuka kuna bet umeweka na Nzi timu gani itamaliza juu ya mwenzake
Man City hastahili kuwa wa pili!Kesho zinabaki points 4 tu kumfikia
Kumbuka leo Man U hawezi pata maximum point so nitakuwa nae sawa au nitampita na akija kwangu week ijayo hata LVG anajua anapoteza
Tottenham piga haooooooo
Kwenye Blue: bado kama saa 1 mpira uanze : baada ya dakika 90 naomba uje kufuta comment yako hii
Kwenye nyekundu : Si unakumbuka tulichowafanya mechi ya kwanza? ndicho tutakachokifanya tena Anfield
Kama sikosei alibet abaniwe Arsenal akishinda old Trafford juzi.Abaniwe Arsenal akimaliza juu ya Man United, Atahamia Arsenal endapo tutabeba UCL msimu huu, abaniwe Liverpool akimaliza juu ya Man United. Jamaa ni master/multiple betting man.
Kama sikosei alibet abaniwe Arsenal akishinda old Trafford juzi.Abaniwe Arsenal akimaliza juu ya Man United, Atahamia Arsenal endapo tutabeba UCL msimu huu, abaniwe Liverpool akimaliza juu ya Man United. Jamaa ni master/multiple betting man.
Kama sikosei alibet abaniwe Arsenal akishinda old Trafford juzi.
Abaniwe Arsenal akimaliza juu ya Man United,
Atahamia Arsenal endapo tutabeba UCL msimu huu,
abaniwe Liverpool akimaliza juu ya Man United. Jamaa ni master/multiple betting man.
Kwenye Red : Kwani hata wewe una ndoto hizo? mbona safari yenu ilishaishia Emirates... Ufaransa mnakwenda kukamilisha ratiba tuu
Kwenye Blue : Liver hana ujanja wa kumaliza juu ya Utd ... halafu nafikili bet hii ilikuwa ni $100 kila mtu
Itabidi Mods waanze kuzishughulikia hizi bets