everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Based on current perfomance;I will take Zaha over Di Maria
What a waste of bucks?
Basi sawa...... Kwangu mimi Di Maria si mbaya basi tu hajapikwa vizuri na falsafa imekuwa ngumu kwake.
Based on current perfomance;I will take Zaha over Di Maria
What a waste of bucks?
Time will tell...... Usije tu ukaanza kimbia tu jukwaa lako siku za karibuni halafu may ukatoweka kabisa hahahhahaaa
Time will tell...... Usije tu ukaanza kimbia tu jukwaa lako siku za karibuni halafu may ukatoweka kabisa hahahhahaaa
Basi sawa...... Kwangu mimi Di Maria si mbaya basi tu hajapikwa vizuri na falsafa imekuwa ngumu kwake.
Khe khe kheeeeeeeeee anahitaji maji mengi huyo ili aweze kuiva 🙂🙂 Mupenzi wa Chelsea kapona au bado yuko kwenye "state of shock"? Mwambie BAK yule mshabiki maarufu wa Gunners anamsalimia sana 🙂🙂 na kumtakia kila la heri ili apate nafuu haraka.
Hahahahahahaha!!!! Na magadi kabisa awekewe maana ni mgumu kweli!!!
BAK umeniulia mupenzi yangu yaani bado haina nguvu kabisa, akiangalia na zile pampas mlizoziweka anazimia kabisa akicheki zile nguo za watoto akiangalia vijembe vyako hana hamu kabisa, hapa namlinda asije kuchukua kamba tu,lol
Hivi unamaanisha nn? Ni kwamba huyo KANE ni mzuri sana kuliko hao three straiker ama? Ivi ulishafkiri angekuwa huyo KANE katika currently squad ya MAN U angefunga hayo magoli same chance given at this moment he playing at Totenham. Katika Football kuna factor nyingi( tactics and tactical bench, system of playing, etc) zinamfanya mchezaji kuperfome vema au vice versa
Mtani sasa mbona unaniombea mabaya tena wakati mi nakutakia heri hadi CL,jitahidini basi hata FA mchukue, au nalo kombe mbuzi?
Mtani hatukimbii sisi tupo sana mpaka CL mwakani, lol
BR sio kilaza kama kocha wenu anaye mdhalilisha Falcao bila sababu za msingi!
Anampa jezi useless Wilson anamnyima Falcao na ndiyo maana CL mtatushangilia sana
kula kabisa mkuu, uwezo wenu wa kujihakikishia point 3 siku hizi mdogoLeo bila point tatu hakuna maeleweno.
Ungependa Kikosi cha leo dhidi ya spurs kiweje?
Starting XI:
DDG (GK)
Rafael (RB)
Blind (LB)
Smalling (CB)
Rojo (CB)
Herrera (CM)
Antonio (RW)
Mata (AM)
Falcao (CF)
Rooney (SS)
Januzaj (LW)
Subs:
Young
Fellaini
Carrick
Jones
Valdes
Kikosi kizuri kupata draw