mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 801
Jibu la hii ni kuwa Hart ni mzawa, Di Maria ni mgeni. Marefa, media huwa zinaonyesha favoritism kwa wachezaji wazawa. Hata wachezaji wazawa vs wazawa huwa ni mara chache kupandishiana kuliko wazawa vs wageni au wageni vs wageni. Chunguza utagundua hili.
nakubali sana, evans alianza kutema mate lkn