Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unapenda sana kushinda kwa watu while wewe unafukuza watu kwenu.

Si kweli mkuu

Kule kwetu kuna demokrasia ya hali ya juu na wote mnakaribishwa

Hapa kwenu Nzi na RRONDO wana nguvu ya miungu watu hawapingwi kwa lolote lile hapa
 
Last edited by a moderator:

duh kumbe umegundua hilo! kule kwao unatakiwa usifie liverpool tu vinginevyo utatukanwa na kupewa mipasho balaa! mi nimewaachia jukwaa lao wala siingii kule!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Si kweli mkuu

Kule kwetu kuna demokrasia ya hali ya juu na wote mnakaribishwa

Hapa kwenu Nzi na RRONDO wana nguvu ya miungu watu hawapingwi kwa lolote lile hapa

wewe unaongoza kwa kupost jukwaa hili kuliko mimi......una uhuru uutakao humu hamna wa kukuzuia,ponda man utd unavyotaka,tutakujibu kwa hoja tu wala si vinginevyo.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
V
everlenk dada yangu nakuonea sana huruma kwa wewe kukosa raha kila weekends!

Fanya maamuzi mazito njoo ufurahi na MAJOGOO ambao sasa ni vicheko tu

Mm namfunga Swansea kiurahisi kabisa Jumatatu;ww utammfunga Tots leo?

Kaka yangu bana unanifurahisha kweli kweli, tunachomoza kesho no more tears again.....
 
Last edited by a moderator:
everlenk dada yangu nakuonea sana huruma kwa wewe kukosa raha kila weekends!

Fanya maamuzi mazito njoo ufurahi na MAJOGOO ambao sasa ni vicheko tu

Mm namfunga Swansea kiurahisi kabisa Jumatatu;ww utammfunga Tots leo?

LFC mmekua na jeuri sn siku hizi mmeshinda vimichezo kadhaa basi imekua shida......hapo nyuma mlikua kimya. Nyie LFC top four hamuingii ata iweje.
 
Last edited by a moderator:
LFC mmekua na jeuri sn siku hizi mmeshinda vimichezo kadhaa basi imekua shida......hapo nyuma mlikua kimya. Nyie LFC top four hamuingii ata iweje.

Yaani ni shidaaa!! Hizi mechi walizoshinda wenzetu wameona na EPL wameshachukua kabisa na sasahivi wako ligi ya CL mwakani na huko ubingwa wameshachukua lol.
 
Hahahaaaaa, Huyu Malafyale mzee wa Mabibo atakuja kukiri hapo badae kua wamechemsha.......na anafahamu vzr kua anaongea tu.
 
Last edited by a moderator:
Ana hasira na sisi zile bao 3 basi ana hamu kweli zirudi..... Kaka Malafyale hizo hazirudi ng'o sana sana unatupa nguvu tukuongezee zingine.

Malafyale anapenda sn kuongea....ila mimi kwa mtizamo wangu LFC hawawezi kuingia ktk top f four.
 
Last edited by a moderator:
Malafyale anapenda sn kuongea....ila mimi kwa mtizamo wangu LFC hawawezi kuingia ktk top f four.

Mtani Jiandae kwa vijembe vyao watakushambulia kama mpira wa kona.......wenzako sasa hivi wako CL ya mwakani halafu wewe unawaambia nini, babito jiandae...lol
 
Mamito hawana lolote hawa...msimu huu ktk Capital One walinikazia sn lkn mwisho wake timu bora ndio ikashinda wao bado sn na ule mpira waliocheza na sisi hawawezi kuucheza kile ndio kilikua kiwango chao cha mwisho....najua mtawapiga tu hawa wala hawana shida hawa.
 
Hahahaha Malafyale nkamu gwangu uliko kughu? Njoo bana........... Ntuzu siku hizi Brendan Rogers kawa the 'special one' hawatakuelewa kabisa hizi mambo unazowaeleza, sasahivi wanakwambia kila atakayepita mbele yao ni kichapo tu utafikiri wenzao watakuwa wamesimama tu, Blackburn juzi kawabana mbavu kweli kweli lakini hawakumbuki ingelikuwa ni MANU ungesikia katimu ka mchangani kanawabana mbavu.
 
Kocha wangu anapigiwa chapuo akamtoe Ancelotti Madrid eheheheh

Nacheza CL nitakuwa wa pili EPL hapo May
 
Hahahaha!! The special one BR si hata Man city wanamtaka!!!! Madrid hawachukui vilaza hu hu hu!!!!
 
BR sio kilaza kama kocha wenu anaye mdhalilisha Falcao bila sababu za msingi!

Anampa jezi useless Wilson anamnyima Falcao na ndiyo maana CL mtatushangilia sana
 
Kaka huyo wetu anajulikana ugonjwa wake..... Vip the special one????
 
Back
Top Bottom