Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya wandugu tupo pamoja kuanza kusherehekea ushindi wetu dhidi ya tawi letu aminifu.
 
swali la msingi watakaa hapo hadi mei mwisho wa ligi ? hawawezi , atatolewa tu na liverpol kwa sababu mani ana game nne ngumu ambazo hawezi kushinda zote wakati liverpol ana mechi mbili ngumi . ndio maana nikasema man kucheza uefa mwakani ni ngumu kama ilivyo ngumu kupata damu toka kwenye mwamba.

Mkuu ligera kuna jambo unalisahau either makusudi au kwa kutofuatilia. Man U kamchapa Arsenal na Liverpool mzunguko wa kwanza, katoa sare na Chelsea tukapoteza kwa Man City. Sasa sijui hizo timu nne unazosema kubwa ni zipi?
 
Last edited by a moderator:
Manchester United team news
Starting XI: De Gea, Valencia, Smalling, Rojo, Shaw, Blind, Herrera, Di Maria, Fellaini, Young, Rooney
Subs: Valdes, Rafael, Jones, Carrick, Januzaj, Mata, Falcao

Game tunazohitaji ushindi huwa sipendi Felaini aanze
 
Arsenal team news
Starting XI: Szczesny, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Cazorla, Oxlade-Chamberlain, Ozil, Sanchez, Welbeck
Subs: Martinez, Gibbs, Chambers, Ramsey, Giroud, Walcott, Akpom

Manchester United team news
Starting XI: De Gea, Valencia, Smalling, Rojo, Shaw, Blind, Herrera, Di Maria, Fellaini, Young, Rooney
Subs: Valdes, Rafael, Jones, Carrick, Januzaj, Mata, Falcao

Kikosi poa kabisa....haya sasa walete hao Goons.....naona #WakaangaSumu hata kuleta pua zao humu wanaogopa!!
 
Manchester United team news
Starting XI: De Gea, Valencia, Smalling, Rojo, Shaw, Blind, Herrera, Di Maria, Fellaini, Young, Rooney
Subs: Valdes, Rafael, Jones, Carrick, Januzaj, Mata, Falcao

Timu nzuri nina mashaka kidogo tu kwa Shaw ila uwepo wa Young atasaidia sana kukaba na kupeleka mashambulizi pale mbele itakuwa vizuri kama Rooney atacheza nyuma ya Fellain ili Fela abaki mbele kuwasumbua mabeki
 
_81529289_ot.jpg
_81528391_manchesterunitedfans_getty.jpg
_81528495_manchester_united_flag_getty.jpg
 
Mkuu Belo hii game inahitaji tibua tibua na Felain anaiweza hiyo kazi.

Fellaini anachezeshwa namba 10,atatibua nini.Umeona game anazoanza Fellaini tunavyopata tabu kufunga.Mata was the best option kuanza
 
Valencia anapoteza malengo ya kukaba kwa kwenda kukaba zone sio yake
 
sasa mpaka tunafungwa na Arsenal tena OT...kweli timu hatuna kabisaaaa
 
Back
Top Bottom