Hao ndio man u biashara asubuhi jioni mahesabu,ni goli zuri sana MAN U TUNAONGOZA B.MUNICH BILA WADAU WA MAN OYEEE MAMBO BADO TUENDELEE KUWAPA SHAVU.
umenena wewehakuna wa kulaumiwa kwa sababu Bayern ni timu kubwa inacheza soka maridadi, mbinu zao zimelipa, walijituma tangu mwanzo, kwanza Man U wana faida bado , wala hilo si tatizo kwao, tatizo kwao ni maumivu ya Rooney.
Ha ha haaaaaaaUsifanye mchezo na watawala wa dunia watoto wa Hitler.
poleni sana Man U kutangulia si kufika
Tehee Tehee Tehee,...Man anauza Beyern anpokea pesa mahesabu jioni Tehee Tehee Tehee...
Man U inamlipa Rooney zaidi ya auni 100,000 kwa wiki, ili aweze kufunga magoli, sasa kama unalipa pesa nyingi hivyo bila mtu kucheza hiyo si hasara....by the way ni mchezaji halali wa timu hiyo.yaani manure ni ROONEY?
kwani hujui kuwa Van De Sar ni mchezaji wa Man....alitimiza wajibu wake, ni kipa mzuri.Mechi ilikuwa ngumu sana kwao bahati yao wamshukuru Van De Sar vinginevyo ingekuwa kama Basketball. Kuhusu zile subs Fagie hapaswi kulaumiwa manake alitaka zaidi mashambulizi ndo maana akawaweka hao jamaa. Piga ua wangefungwa tu.
Mhh! huu unazi ss...!!The second goal was realy classic!!!!😀
Wadau, kwa wale waliongalia mechi jana... Jeh! Fergie alaumiwe kwa "substitute" zake au piga ua garagaza Man U walikuwa wakufungwa tu...????