Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bayern kumbe wazuri bana..Man inaeza ikatolewa.
Hasa kipindi cha pili wamecheza vizuri sana tena kwa kuonana kuliko hawa wenzetu hapa.Bado chance ni half half dk 90 zilizobaki ndo atakuwa muamuzi.
 
Hasa kipindi cha pili wamecheza vizuri sana tena kwa kuonana kuliko hawa wenzetu hapa.Bado chance ni half half dk 90 zilizobaki ndo atakuwa muamuzi.

Man U kipindi cha pili imebanwa, yaani Bayern ilionekana kama inacheza na timu ya daraja la pili..lol
 
Naona wapenzi wa Chelsea mnakenua injury ya Rooney..Weekend mapigo yenu ya moyo yatapungua kidogo..😀
 
Ushabiki pembeni Bayern dominated and they deserved to win.
 
_47563789_olic_766getty.jpg

The sucker punch from Ivica Olic
 
Rooney twisted his knee khe khe kheeeeeeee naona mafioso jino wazi. Fergi karidhika kwamba Manure walizidiwa kete leo .... ...
 
Rooney twisted his knee khe khe kheeeeeeee naona mafioso jino wazi. Fergi karidhika kwamba Manure walizidiwa kete leo .... ...

sawa mzee all the best kesho,rooney kaumia ankle,but usisahau rooney ni bingwa wa kupona mapema
 
sawa mzee all the best kesho,rooney kaumia ankle,but usisahau rooney ni bingwa wa kupona mapema
It's very unprofessional kushangilia injury ya mchezaji wa timu pinzani. Mbona sijaona mtu akifurahia Fabregas alipoumia?
 
Teh teh 'Man U hatushikiki' hamshikiki? Ribery ni kifaa nnoooo
 
_47563540_rooney766.jpg

Ukiangalia vizuri utagundua Rooney
hayuko ok hata baada ya kufunga goli.

_47563913_ribery466.jpg

_47563654_park_lahm466.jpg
 
It's very unprofessional kushangilia injury ya mchezaji wa timu pinzani. Mbona sijaona mtu akifurahia Fabregas alipoumia?

Unproffessional to whom? Khe khe ... ... Mbona wachezaji wetu wanavyovunjwa miguu mnashangilia kila siku?

BTW huu mpambano wa timu kabambe nyie kaeni kimya tu muangalie timu yenu haipo tena kwenye haya mashindano ... ... ... Pamoja na umafia wenu.
 
sawa mzee all the best kesho,rooney kaumia ankle,but usisahau rooney ni bingwa wa kupona mapema

Kesho mambo safi wala usiwe na matatizo njoo uangalie ngoma safi, hakuna mambo ya kukamiana.
 
Kesho mambo safi wala usiwe na matatizo njoo uangalie ngoma safi, hakuna mambo ya kukamiana.

Lakini mkuu hata huu mpira wa leo ulikuwa wa aina yake nao Man walidhani yatarudia ya Milan wazee wale jamaa leo walikuwa wananyang'anywa mipira ktk miguu yao lol
 
Back
Top Bottom