Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

wakuu poleni sana kwa kupoteza mchezo na wayne... bigger worry for england though
 
piga ua galagaza LAZIMA wangefungwa tu,na ndio dua yangu jana wafungwe vibaya awa masheuzi MAN U,,,kazi kubebwa tu
Iam sooooo happy today n pasaka itakua safi sana kwangu
ziiiiiiiiii
kweli mlikua na kiu cha muda mreeefu kuiona Man u IKIFUNGWA.
POLENI....
 
Nashangaa kwa nini Bayarn waliwachelewesha vile, mchezo wao ulikuwa mzuri sana. Man u walitakiwa kula kichapo ilikuwa ni halali yao!
 
Nadhani pamoja na kujituma sana Bayern walistahili kushinda kwa kuwa pia walikuwa 12 nikimaanisha na washabiki wao wa uwanja wa nyumbani. Van de sar amedhihirisha kuwa ni mmoja kati ya makipa mahiri duniani kama tutakuwa tunaondoa ushabiki na kusimamia ukweli. Naamini Man U walipenda kucheza defensive game zaidi ili kupata advantage ya goli la ugenini ili wamalizie shughuli Old Trafford lakini mambo yaligeuka mwishoni. Naomba tusubiri hiyo tarehe 7 April kujua hatima ya yote haya na nani ni nani kwani naamini Man U hawajachelewa bado!
 
Manchester ilistahili kufungwa kwasababu baada ya kupata goli dakika za mwanzo waliamua kulinda goli badala ya kuatafuta magoli zaidi.Katika siku za karibuni Manchester ikipata bao dakika za mwazoni wanaacha kucheza mpira wao wanabaki kulinda goli hii mechi inanikumbusha mechi baina ya Evarton na Manchester walipata bao la kuongoza wakaacha kucheza mpira wao matokeo yake Evarton wakasawazisha na kuongeza bao.

Kuna sababu kuu mbili zilizopekea Manchester kufungwa mechi ya jana.

[1] Manchester united ya sasa iko predictable sana.

[2] Wachezaji waliotegemewa kuanzisha mashambulizi,Michael C na Darren F walishindwa kufanya walichotakiwa kukifanya.Mabadiliko ya Sir Alex nayo yalichangia kipigo.

Manchester United bado wana nafasi ya kusonga mbele ikiwa watahakikisha makosa waliyoyafanya hayajitokezi tena.Imefika wakati Sir Alex kuacha kuwategemea wachezaji wazee kama Garry Neville,Ryan Giggs na Paul S,Manchester inatakiwa kusajili wachezaji vijana kuziba mapengo ya vibabu tusijeiga tabia ya AC Milan.
 
timu ilicheza hovyo hovyo tu,kweli tulistahili kupigwa vya kutosha.had it not be for that dutch goalie tungekuwa tumetolewa.but as it stands hata wao bayern wanajua we stand a better chance to advance hiyo tarehe saba pale machinjioni.
icon12.gif
 
Imefika wakati Sir Alex kuacha kuwategemea wachezaji wazee kama Garry Neville,Ryan Giggs na Paul S,Manchester inatakiwa kusajili wachezaji vijana kuziba mapengo ya vibabu tusijeiga tabia ya AC Milan.
sikweli kuwa Man ilifugwa kwa sababu ya wachezaji wazee, hiyo ni excuse isiyo na maana, Bayernmunich waliwafunga man kwasababu walicheza vyema zaidi, walijituma zaidi, walijipanga zaidi, walikua katika kiwango bora zaidi.
hakuna timu iliona mchanganyiko mzuri wa umri kama man U. na huwezi kureplace vitoto kwa wachezaji wazoefu kwa usiku mmoja.
mimi siamini kama Bayern wameishavuka. naona ipo kazi na dakika Tisini zenye Jibu.
 
timu ilicheza hovyo hovyo tu,kweli tulistahili kupigwa vya kutosha.had it not be for that dutch goalie tungekuwa tumetolewa.but as it stands hata wao bayern wanajua we stand a better chance to advance hiyo tarehe saba pale machinjioni.
icon12.gif
Ha ha haaaaaaaaaa.... Machinjioni...!!!
 
Kusema kweli na an neutral point of view, bayern walikuwa wazuri jana na walistahili kushinda na kama watacheza kama jana old trafford and without Rooney then I would all expect a tight game and probably an edge to bayern.
 
Man u wamestaili kipigo hicho tena naisi waslikuwa na bahati sana wangepigwa kichapo kikubwa zaidi ,pongezi zimuendee mfaransa FRANCKY RIBERY kwa kazi yake nzuri
 
Bado wanajifariji kua ilikua April Fools yale hayakua magoli ya ukweli!! lol poleni!
 
Back
Top Bottom