HT watoto wa kiume upande wa shetani wanaongoza ngoja warejee tuone moto wake wakumalizia kazi...kawaida mbuzi ukimfunga kamba huwa anakwenda unapotaka ww hata kwa break atafika tu kwenye machinjio
kumbuka final na BARCA tena
hooooooooooooooooooooooi
Sijui final na nani ila nitajua kesho...au bala na mbu wanasemaje?