BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Haya bhanaa bingwa wa EPL msimu wa 2014/2015
Aisee itabidi mfundishwe namna ya kuchomeka,lol
Aisee itabidi mfundishwe namna ya kuchomeka,lol
Haya bhanaa bingwa wa EPL msimu wa 2014/2015
![]()
![]()
Radamel Falcao ✔ falcao
Follow
Back to training 100% and ready to help the team in the next games.
7:47 PM - 23 Nov 2014
Asante mkuu, ila wewe hukamaiki. Duh! Hatari sana
Umemuona sasa??
Sina la kusema- Arsenal leo hatukuwa na bahati- tuonane mwaka Ujao!
Nimemuona aiseeee...! Analeta matumaini sn...! Amejenga kujiamini kwa timu...! Naamini mtazidi kua wazuri sn hapo mbele maana Arsenal na Liverpool wanaporomoka tu Wakati huo huo City bado anashida kidogo...! Ata ule mchezo wenu na city Km isingekua kadi kwa Chris basi mngeshinda ule mchezo.
Mwanangu nimefunga injini tano ktk Gari moja...! Yani Gari inanguvu hiyo ni balaa..!
Van Gaal shows a promising future, if not this season bas the next one tutakuwa boom. We're focusing on the top four
Injini ikilipuka basi gari zima litalipuka, so watch out
Hahahaaaaa. Mkulu kuna Fire Extinguisher kila sehemu. Tena ziko automatic zinalipuka zenyewe tu.
Kwani nyie vipi na bus lenu?? Mmeshika nafasi ya ngapi??
Lets see. Hongera tena mkuu. Nasikia mmempa mtu mkono
Asante sn mkuu..!
Siku Hizi nalala usingizi mzito sn sina mawazo kabisa na timu yangu...!
Hahaaa basi letu halina hata matairi
Ngoja tuwahi Bin slum tuwaletee hata ya vipara