Yahya Hussein alishakufa miaka mingi, na nadhani ulisi alimuachiaga mwanawe.
Sijajua magori ila nafsi yangu inasema manchester inashinda hiyo game
Usikimbie hapa baada ya mechi. Game draw 1-1.
Nzi privacy Bulldog Kitoabu Earthmover Na Manure fans wote mupooooooo?
Leo mi Naangalia viwango tu....!
Nimemuona LVG dhidi ya Chelsea
Nememuona LVG dhidi ya Man city
Leo dhidi ya Arsenal itakuaje?
Jon Champion
The final whistle is blown arsenal win the match 3-0
Jon Champion
The final whistle is blown arsenal win the match 3-0
Itakua kwemye play station
Labda fifa (game)
maandalizi ziadi
![]()
Baada ya mechi utakua ushatoka nduki.sema tukutane hapa muda wa mechi. Ninajua kinacho kupa matumani ni majeruhi yetu, lakini kumbuka MBWA HANA MANENO MBELE YA CHATU.Tukutane hapa baada ya mechi.
Yah! Leo mzee mwenzangu naua mtu. Asira za kukukosakosa wewe nakupigwa na City, zoooote nakwenda kummalizia Arsena8Nzi privacy Bulldog Kitoabu Earthmover Na Manure fans wote mupooooooo?
Leo mi Naangalia viwango tu....!
Nimemuona LVG dhidi ya Chelsea
Nememuona LVG dhidi ya Man city
Leo dhidi ya Arsenal itakuaje?
Ona mtu anatembea huku anaota huyo! Sie tunakuja kutia kibatali kibanda kile!Whaaaaaaat a gooaal...!!!!!
sanchez in 34 minutes
arsenal lead the match
Huyo hapo kati ni Anderson kweliii au namfananisha?
kama ndiye je amerudi toa Italy au picha ni ya zamani?
Ndio yeye mbona alisharudi tangu msimu ulipoisha kwani hukumuona jtk zile match za pre season au ile match ya ligi one tuliyofungwa nne hukumuona