Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongera siku yenu leo. Mpira ni magoli kucheza vizuri tu bila kuziona nyavu za wapinzani haitoshi kabisa.

Santeee sana wangu ila mmetupelekesha kiasi fulani haikuwa kazi rahisi.pole sana dear kwa kipigo ndo mpira huo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeona eeh!! umaliziaji ndio unatuangusha kwenye mechi zetu nyingi Best, leo kulikuwa na at least goli nne za wazi kabisa lakini ndiyo hivyo tena pasi nyingi kupita kiasi, vigugumizi vya miguu na wakati mwingine ubinafsi pia. Congrats!

Ili mtoke hapo mlipo mnahitaji mfanye maamuzi magumu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeona eeh!! umaliziaji ndio unatuangusha kwenye mechi zetu nyingi Best, leo kulikuwa na at least goli nne za wazi kabisa lakini ndiyo hivyo tena pasi nyingi kupita kiasi, vigugumizi vya miguu na wakati mwingine ubinafsi pia. Congrats!

Tatizo lenu leo arsenal upande wa kumaliza mlikua hamtengenezeani nafasi kila mmoja anataka abebe ujiko kwa kutupia goal zidi ya MU
 
haya haya ndio hivyo tena 2 man utd 1 arsenal ..man utd move to 4th place...mwendo mdundo
 
Mke hatongozwi ,hushikwa mkono tu mambo yamekwisha.Kinachonisikitisha Sanchez hajacheza.
 
Tupa kule Wenger!!!! then we can compete at the highest level with any team on this planet.

Safiiiiiiii!! Nyie ni timu nzuri sana basi tu ufundi ndo hamna,huwa nafurahia sana nikiangalia games za Arsenal maana unapata burudani isiyo na kifani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni aje best? Sema umaliziaji ndio mgogoro Best, si umeona tulivyotandaza kandanda leo hata kusuuzika na roho yako? lakini ikija kwenye kwechi kumunet ndio mgogoro tena si mdogo.

Back
Top Bottom