VAN HEIST
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,434
- 617
Safiiiiiiii!! Nyie ni timu nzuri sana basi tu ufundi ndo hamna,huwa nafurahia sana nikiangalia games za Arsenal maana unapata burudani isiyo na kifani.
Wenger bahili sana... soon sanchez atachoka mana macho ya kocha na mashabiki yote kwake