Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Van persie leo kaonesha uhai mpaka akapata na goal. Sera ya ushindani inalipa. Kwanza tumeona fellain akigangamala, kisha Ashley Young, na sasa van Persie
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
10404257_10152595327092746_2863400819604232408_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hongereni humu, naona leo hata Van Pussy kafufuka na kuziona nyavu....CC: everlenk
 
Last edited by a moderator:
Carrick, Herrera and Mata jamaa wanajua sana wametulia full ufundi miguuni
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Asante BAK. mashetani tunazidisha kiwango mila siku
 
Last edited by a moderator:
_79392914_dimaria.jpg

Ni majanga tu kila mechi kuna kuwa na majeruhi

Ila balaa ni kwa Rooney kuumia, jamaa ni kama wachezaji watatu ndani yake
 
Sijaiona game, ila kwa highlights nilizoona, inaonekana timu imecheza vizuri...
Game ijayo Stoke City inabidi apigwe, ili twende St. Mary's tukiwa vizuri...

#GGMU
 
Back
Top Bottom