Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,261
- 1,253
Thanx Ras Simba kwa Masahihisho!
Teh teh teh teh!
Thanx Ras Simba kwa Masahihisho!
Thanx Ras Simba kwa Masahihisho!
Teh teh teh teh!
Naona unajichekesha vipi bethdei ya aseno chenga inaendaje leo?
Naona viroba vimeanza kufanya kazi kichwani.Manutd wakiifunga Chelsea watakuwa mabingwa. Sare nafasi ya pili. Wakifungwa nafasi ya tatu. Panga pangua mambo mwendo mdundo..
and nothing makes me happier than to see manure loose!!!!!
hahahahahahahaha!!!!
Manure huwez kumalza juu ya lfc, me nikimaliza wa 10, we utamaliza wa 11..
You had fixture nyepes sana katika game zako 8 zilizopita, bado hujacheza na top side yoyote zaid ya everton!!
You just shit, coz umecollect point chache sana katka fixture nyepes saaana...kitu ambacho hata wewe hukutegemea!!!
With di maria, falcao, mata, rooney, van persie etc..ulitakiwa uwe mbaaaali sana..but u still shit..striking force yako ni kali zaidi ya chelsea na man city (kwa hayo majina tu) but u still shit...na hakuna mchezaj yoyote unayemtegemea ambaye yupo out injured!!!!
manure are shit, same to lfc, arsenal, spurs and everton!!!
Kwahyo msituambie kuwa mnaimprove wakat everybody can see kuwa ur still shit!!!!
And week zinazokuja zinaweza zikawa week ngumu sana katika maisha yenu ya kishabiki!!!
Sunday is a huge opportunity for UTD to kick start a tricky season.
Without hampered by the champions league in midweek which league leaders, Chelsea, are. Chelsea should be tired and apprehensive without Diego Costa and Remmy.
The aging Didier Drogba is toothless and their skippers is too mistakes prone to reassure anyone.
Mkuu nakubali mwaka huu unatim ya ushindani, lakini sio yakuifunga United. Kesho goli moja tu linatosha kunipa heshima.Costa atakuwepo mkuu J2 Huu Ndio ukweli...!
Na pia safu ya ulinzi ya Chelsea inayoongozwa na Terry Ndio haijafungwa magoli mengi mpk sasaivi...! Hayo makosa yanafanywa na beki Za Man Utd kina Urojo.....!
Uchezaji wa Drogba kwa Wakati Huu ni mzuri sn....km ni mtaalamu soccer kwa kutoa kauli km hiyo dhidi ya Drogba Inakua sio sahihi na hasa ukiangalia game ya J4 Drogba alicheza Vzr....!
Nakupiga hapo kwako mkuu....!
Na pia safu ya ulinzi ya Chelsea inayoongozwa na Terry Ndio haijafungwa magoli mengi mpk sasaivi...! Hayo makosa yanafanywa na beki Za Man Utd kina Urojo.....!
Uchezaji wa Drogba kwa Wakati Huu ni mzuri sn....km ni mtaalamu soccer kwa kutoa kauli km hiyo dhidi ya Drogba Inakua sio sahihi na hasa ukiangalia game ya J4 Drogba alicheza Vzr....!
Nakupiga hapo kwako mkuu....!
Hili (thread) ibadilishwe (title) yake iitwe "epl fans centre". Nimegundua kila shabiki wa epl lazima aingie hapa.
Una uhakika chifu? beki ya Southampton ndiyo haijafungwa magoli mengi, hadi sasa imefungwa magoli 5 tu, wakati Chel$ki$ imefungwa 8, manne pungufu ya United!
Doh! Sasa hiki ni kioja! Alivyocheza vizuri na kile kibonde ndiyo unamsifia? Drogba anaziba nafasi tu za madogo ushine hapo Chel$ki$..mapenzi ya Maureen juu yake ndiyo sababu ya yeye kurudi hapo, hana lolote..hata alipokuwa fiti alikuwa akiionea goons tu siyo United katika kipindi chote ameifunga United goli 3 (nakumbuka 1 katika FA cup final, lingine la offside pale OT, la tatu sikumbuki) tu katika games karibu 20!! Sasa huyo naye wa kuogopwa?! Acha masihara chifu .
Lets bet chifu acha maneno matupu..