Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Mkakati wa Mourihno ni kujihami na kufanya mashambulizi ya kushtukiza.
Utd mkakati ni kushambulia tu hakuna namna. Chelsea watafuta droo kwasababu ya uchovu wa midweek champions league.
Utd wao uchovu wa Chelsea ni kivuno kwao. Ubashiri wangu UTD 3-1 CHELSEA.