Dah! Swali gumu chifu. Ila Jones akiwa kapona, basi kichapo halali yenu. Beki yetu chifu majanga balaa!
Di maria, di manyota
So far umewafunika vibaya mno licha ya kuwa kacheza mechi na dk chache.
Vp leo kuna premier? Na kama ipo man u tunacheza? Kama tunacheza itakua ni saa ngapi?
Leo ni international break mkuu... Till next weekend
Leo ni international break mkuu... Till next weekend
arolabKatika kuongezea tuu ni kuwa mechi inayofuata ya Manchester United ni dhidi ya West Bromwich Albion.Asante kwa taarifa.
Hv wakuu redcard ya captain itamzuia ascheze match ya chelsea?! Au inaishia next game au ndo ile kuchagua match za kucheza?! Maana sidhani kama herera naye yupo fit for da game. Duuh...
Si wanachaguaga game ya kucheza na kutocheza au?!
Haya na herera na carrick je?! Mbna kazi ipo hio game.